Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

GENTAMYCINE... ulituletea exclusive hapa ya Simba washapewa points 3 zao za rufaa kwa FIFA.. Mpaka leo hiyo ndoto haijatokea... Nina mashaka sana na habari zako mkuu

Makaburi ni mwiko kufukuliwa bwasheee, hasa kama yanamuhusu Kada nguli kama GENTAMYCINE
 
Boco amefunga magoli mangapi msimu uliopita mkuu?
 
bado anko ngasa,tegete na chuji halafu mzee akilimali anachukua u chairman
 
Uzuri huwa wanasahau haraka mno na kubaki kuponda.

Hongera sana kwa kuwa mwanajangwani mwenzangu.
Tambwe kamnyoosha nani kati ya Simba na Yanga? Mgoli ya kubebwa bebwa ya mikono
 
kucheza mpira simba kusubiri kupata nafasi ya kucheza ULAYA ni sawa na kusubiri Embe chini ya Mnazi....


Usiniupize kwanini "nenda kamuulize MUSSA Hassan Mgosi".

Watu wanataka MATAJI tu....hizo danganya Toto zimepitwa na wakat.
Mataji au taji? Mnabebwa
 

Huyu muhindi anapenda kuzira kama mwanamke wa kichagga
 
Simba viongozi na mashabiki zao wete wana akili za kibashite bashite
 
Nafasi yake tayari imeshajazwa na Ally shomari kiungo mahiri kutoka mtibwa sugar mwenye uwezo wa kucheza zaidi ya namba nne uwanjani. Muacheni aende tu huyo Ajibu
Ndio mnavyosema hivyo au?
 
Uongo mtupu Niyonzima tunakaa naye mtaa mmoja ajasaini popote.. na vitu vyake anauza mpaka gari lake inawezekana akasepa kabisa bongo
 
Uongo mtupu Niyonzima tunakaa naye mtaa mmoja ajasaini popote.. na vitu vyake anauza mpaka gari lake inawezekana akasepa kabisa bongo

Unaonekana unamjua sana Niyonzima Mkuu je vipi haja ku Niyo?
 
Uongo mtupu Niyonzima tunakaa naye mtaa mmoja ajasaini popote.. na vitu vyake anauza mpaka gari lake inawezekana akasepa kabisa bongo
wee unakaa Kijitonyama maana Nio ANAKAA Kwa Mzee Bwando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…