Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Aende akacheze huko bado mkude aende tu dead players!
kucheza mpira simba kusubiri kupata nafasi ya kucheza ULAYA ni sawa na kusubiri Embe chini ya Mnazi....


Usiniupize kwanini "nenda kamuulize MUSSA Hassan Mgosi".

Watu wanataka MATAJI tu....hizo danganya Toto zimepitwa na wakat.
 
Uzuri huwa wanasahau haraka mno na kubaki kuponda.

Hongera sana kwa kuwa mwanajangwani mwenzangu.
Ahsante mkuu,Yanga Africans ndio chama la wajanja,hao jamaa wanamponda ajib now,ligi ikianza ndio watamtambua
 
Sasa Manji atapataje aibu wakati ashaachana na yanga,na hao wachezaji aliwaacha hapohapo Yanga? Kwa maelezo hayo nna waswas na mleta mada.
 
Hivi mchezaji hajafunga hata magoli kumi katika mechi zote kwa msimu kwa vipindi viwili unasema hiyo dhahabu?, kichuya na mzamiru yassin wawe na miguuu ya nn?. Kwan Mimi ni bishoo tu asiyejitambua wenzake wanachakalia bongo na vipaji vyao, kina niyonzima, msuva,nk yeye ana nn cha ziada
 
Kwa upande wako mchezaji mzr ni yule aliyefunga magoli mengi? Kwani Ajib ni striker au kiungo? Kwahiyo, tuzo ya uchezaji bora aliyopewa Shabalala ni ya uongo au hakustahili kwakua hakufunga magoli mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…