Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Hako Katoto nimekuwa sikapendi tokea kalipokuwa kanacheza pale Lumumba Rovers Msimbazi Center kisha akahamia Boom FC zote za Ilala baadae ndiyo Comrades wangu akina Patrick Rweymamu na Suleiman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia wakati wakiwa wanaisuka Simba B wakaamua kukachukua hadi pale alipopandishwa na akina Kibaden na Julio kipindi kile walipokuwa wanapiga deiwaka Simba SC.

Ni Kachezaji Kanafiki mno na sasa hivi ndiyo nitakapuuza kweli. Kumbe ndiyo maana hata Samora ( Mchezaji wa zamani wa Boom FC na Simba SC enzi hizi na Mdogo wake wa damu kabisa Mshambuliaji mahiri na mwiba kwa Yanga Dua Said Dua ) aliwaonya mapema na siku nyingi sana kuwa tusimwamini Ibrahim Ajib kwani ni Mwana Yanga FC lia lia akina Kaburu wakatuingiza mkenge na hatimaye leo kimeeleweka.

Nyie hamjiulizi tu ni kwanini hivi majuzi katika ASFC Final pale Jamhuri Stadium Mkoani Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani na mwana Yanga FC Kindakindaki Mwigulu Nchemba alivalia Jezi ikiwa imeandikwa jina la Ajib? Wenye kujua mpira wa Bongo na Fitna zake tuliyashytukia haya mapema sana na tuliyategemea.

Hivi Vitoto viwili Mkude na Ajib vimenikera mno na kuanzia leo mlio nao karibu viambieni kuwa iwe mwanzo na mwisho kukaa nasi Masela kule katika yale Majukwaa yetu kwani tutawapopoa bure. Wametufanyia usaliti mkubwa mno sisi Wanasimba. Na tutaona hata kama huko Yanga FC watacheza labda yule Mtaalam wetu wa Pemba awe ameishiwa Ndumba. Tulichomfanyia Ramadhani Singano Messi wa Temeke ndiyo tutakachowafanyia hawa Wanafiki na Wasaliti wawili Waliotukuka.
Povu lpte hilo kama vile wewe ni mungu ... Shenzino wewe
 
Huwezi amini ila ndiyo hivyo habari nilizozipata hivi punde kutoka katika chanzo changu cha kuaminika kabisa zinasema kwa yule Tajiri na Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amerejea rasmi Klabu ya Yanga na kwamba urejeo wake muda wowote utawekwa wazi na Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa.

Katika kuonyesha kuwa Manji amerudi na hatanii hivi ninavyoandika huu uzi tayari 99% Mchezaji wa Simba SC Ibrahim Ajib amesaini Yanga na kwamba kati ya Kesho hadi Jumapili Nahodha wa Simba SC Jonas Gerald Mkude nae atasaini Yanga FC.

Inasemekana sababu kubwa iliyomuudhi na kumkasirisha Tajiri Manji ni Kitendo cha Simba SC kumalizana na Mchezaji mahiri na tegemo wa Yanga Mnyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kwa dau linalokaribia Tsh Milion 110 za Kitanzania na kumalizana pia na Mshambuliaji wa Yanga FC Donald Ndombo Ngoma.

Kazi imeanza na Shikamoo Yusuph Manji na Mohamed Dewji ' Mo '.

Nawasilisha.
Sheikh Yahaya Hussein aliacha wajane wengi sana akiwemo huyu mtoa mada
 
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib Migomba ‘miguu ya dhahabu’ rasmi anajiunga na Yanga baada ya klabu yake ya sasa kushindwa kufikia nae makubaliano ya kumbakiza kwenye kikosi.

Taarifa ambazo www.shaffihdauda.co.tz inazo ni kwamba, Ajab na uongozi wa Simba hawakufikia makubaliano hivyo nyota huyo akaamua kwenda upande wa pili (Yanga) ambao nao walikua wanamfukuzia tangu kitambo.

Kiongozi mmoja wa Simba ambaye hakuwa tayari jina lake litajwe kwenye mtandao huu amesema, walijaribu kukaa na Ajib kwa ajili ya mazungumzo ili andelee kubaki Simba lakini mchezaji huyo hakuonekana kuwa tayari kubaki Msimbazi kutokana na kiwango cha pesa alichokua akikihitaji.

“Tumemwacha aende anakotaka kwenda kwa sababu hana ‘spirit’ tunayoihitaji sisi, acha aende tu sisi mbele kwa mbele,” amesema boss huyo.

Jana Jumatano Juni 14, 2017 mtandao huu ulitoa story kuhusu ofa tatu alizokuwanazo Ajib ambazo zilikuwa ni kutoka Simba, Yanga na Singida United ambapo Singida ndio ilikua timu yenye dau refu kuliko Simba na Yanga lakini Ajib alikuwa na wasiwasi kwenda Singida kutokana na kuhofia maisha yake ya baadae katika soka.

Ajib ambaye alianza kutamba Simba akitokea kikosi cha vijana alikuwa mchezaji huru baada ya kuhitimisha mkataba wake ndani ya Simba.
 
RASMI: Ibrahim Ajibu ametua Yanga

ShaffihDauda / Dick Dauda / 36 minutes ago

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib Migomba ‘miguu ya dhahabu’ rasmi anajiunga na Yanga baada ya klabu yake ya sasa kushindwa kufikia nae makubaliano ya kumbakiza kwenye kikosi.

Taarifa ambazo www.shaffihdauda.co.tz inazo ni kwamba, Ajab na uongozi wa Simba hawakufikia makubaliano hivyo nyota huyo akaamua kwenda upande wa pili (Yanga) ambao nao walikua wanamfukuzia tangu kitambo.

Kiongozi mmoja wa Simba ambaye hakuwa tayari jina lake litajwe kwenye mtandao huu amesema, walijaribu kukaa na Ajib kwa ajili ya mazungumzo ili andelee kubaki Simba lakini mchezaji huyo hakuonekana kuwa tayari kubaki Msimbazi kutokana na kiwango cha pesa alichokua akikihitaji.

“Tumemwacha aende anakotaka kwenda kwa sababu hana ‘spirit’ tunayoihitaji sisi, acha aende tu sisi mbele kwa mbele,” amesema boss huyo.

Jana Jumatano Juni 14, 2017 mtandao huu ulitoa story kuhusu ofa tatu alizokuwanazo Ajib ambazo zilikuwa ni kutoka Simba, Yanga na Singida United ambapo Singida ndio ilikua timu yenye dau refu kuliko Simba na Yanga lakini Ajib alikuwa na wasiwasi kwenda Singida kutokana na kuhofia maisha yake ya baadae katika soka.

Ajib ambaye alianza kutamba Simba akitokea kikosi cha vijana alikuwa mchezaji huru baada ya kuhitimisha mkataba wake ndani ya Simba
 
Mi nashauri viongozi wa Yanga wangewaruhusu wachezaji wote wanaotaka kuondoka waondoke ili wajenge kikosi kingine imara! Niyonzima ni mchezaji mzuri ila kama kaamua kuondoka viongozi wamruhusu tu aende ingawa simba haikuwa sehemu sahihi ya kwenda kwani simba haina shida na kiungo mshambuliaji! Halafu hawa Simba hawana akili yani wanajenga timu upya?
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Naandika uzi huu kumpongeza Ibrahim Ajibu kwa kuangalia masirah yake kuliko kuangalia mapenzi ya kijinga
Dogo amecheza akili za kiutu uzima
Nawapongeza pia yanga kuwa wamefanya usajiri wa maana sana
Mpira wa sikuiz masirahi kwanza kuliko mapenzi alfu mfukoni huna chochote[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
habari umezipata sports HQ ya e-fm ile segment ya mwisho kabisa ya "chaku chabo" !!! kipindi cha leo !

Nimefurahi sana leo kukujua Mchambuzi wa Efm Radio Oscar Oscar kwa hii ID yako ya JF.
 
RASMI: Ibrahim Ajibu ametua Yanga

ShaffihDauda / Dick Dauda / 36 minutes ago

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib Migomba ‘miguu ya dhahabu’ rasmi anajiunga na Yanga baada ya klabu yake ya sasa kushindwa kufikia nae makubaliano ya kumbakiza kwenye kikosi.

Taarifa ambazo www.shaffihdauda.co.tz inazo ni kwamba, Ajab na uongozi wa Simba hawakufikia makubaliano hivyo nyota huyo akaamua kwenda upande wa pili (Yanga) ambao nao walikua wanamfukuzia tangu kitambo.

Kiongozi mmoja wa Simba ambaye hakuwa tayari jina lake litajwe kwenye mtandao huu amesema, walijaribu kukaa na Ajib kwa ajili ya mazungumzo ili andelee kubaki Simba lakini mchezaji huyo hakuonekana kuwa tayari kubaki Msimbazi kutokana na kiwango cha pesa alichokua akikihitaji.

“Tumemwacha aende anakotaka kwenda kwa sababu hana ‘spirit’ tunayoihitaji sisi, acha aende tu sisi mbele kwa mbele,” amesema boss huyo.

Jana Jumatano Juni 14, 2017 mtandao huu ulitoa story kuhusu ofa tatu alizokuwanazo Ajib ambazo zilikuwa ni kutoka Simba, Yanga na Singida United ambapo Singida ndio ilikua timu yenye dau refu kuliko Simba na Yanga lakini Ajib alikuwa na wasiwasi kwenda Singida kutokana na kuhofia maisha yake ya baadae katika soka.

Ajib ambaye alianza kutamba Simba akitokea kikosi cha vijana alikuwa mchezaji huru baada ya kuhitimisha mkataba wake ndani ya Simba

Cc: kitalembwa.
 
Mbona taarifa za jana zinasema simba ilimalizana na Ajib na Mkude???
 
Acha kaende Mkuu na sisi Wazee wa 4-4-4 ( Fitna za Mpira ) wa Bongo tunajua tutakamaliza wapi. Lazima tumtoe Shipa hakyanani. Hawezi Kutusaliti hivi hasa ukizingatia kuwa kamekuja Simba SC hakana hata mafaniko yoyote na Kashamba tupu leo hii kamenunuliwa Gari na kanakaa sehemu nzuri kanaanza kutudharau Simba SC. Tutaona kama huko Yanga FC atacheza mpira. Na ndiyo atajua kuwa Simba SC ndiyo Mabingwa wa Fitna na Ndumba nchi hii!
Hili la ndumba huenda lina ukweli
 
Back
Top Bottom