Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Soka lake.Mwisho wa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soka lake.Mwisho wa nini
Ramli chonganishi hizoSoka lake.
unasiliza radio unakuja kujifanya eti habr za chini chini! umeshindwa nini kuweka wazi chanzo cha hbr ?Na nyingine Bi. Mkubwa wako alinipa kupitia Wasapu.
hahahaah itakuwa kama yaliyomkuta singano ramadhaniRamli chonganishi hizo
[emoji126] [emoji126]hahahaah itakuwa kama yaliyomkuta singano ramadhani
endelea kubashiri !!! pengine siku utabahatisha !!Nimefurahi sana leo kukujua Mchambuzi wa Efm Radio Oscar Oscar kwa hii ID yako ya JF.
Mbona taarifa za jana zinasema simba ilimalizana na Ajib na Mkude???
hahahaaah sawa mkuu. So Ngoma na Niyonzima nao ni uhakika Simba????Wewe wa wapi Mkuu? Yaani unaongelea ya jana wakati ni hivi punde tu Ajib ameshamalizana na Yanga na huenda kati ya Kesho hadi Jumapili Mkude nae akajiunga na Yanga! Kumbe mlidhani kuwa GENTAMYCINE natania tu au nimeamua tu Kujichetua na kuwapeni hii taarifa ambayo kitalembwa ( Mtangazaji wa Efm Oscar Oscar ) alidhani nimeitoa katika Radio yao ya Efm huku akisahau kuwa Yeye ni Mtoto mdogo mno Kwangu hasa katika uwezo wa kupata taarifa zile nyeti kabisa au muhimu. Yaani Mimi kabisa na Utaalam na Ufundi wangu niitegemee Efm kunipa News Tip? Ana bahati sitomchamba kwakuwa namjua ni mwana Simba SC mwenzangu ila angekuwa ni mwana Yanga FC nadhani angejuta kunifahamu.
Sawa mkuu endelea kupambana naeMimi nimeanzisha vita na Joseverest🙂🙂🙂🙂
First to reply
Amemwaga povu la kutoshaPovu lpte hilo kama vile wewe ni mungu ... Shenzino wewe
unasiliza radio unakuja kujifanya eti habr za chini chini! umeshindwa nini kuweka wazi chanzo cha hbr ?
Simba nadhani wamejutia sana kumpotezaNaandika uzi huu kumpongeza Ibrahim Ajibu kwa kuangalia masirah yake kuliko kuangalia mapenzi ya kijinga
Dogo amecheza akili za kiutu uzima
Nawapongeza pia yanga kuwa wamefanya usajiri wa maana sana
Mpira wa sikuiz masirahi kwanza kuliko mapenzi alfu mfukoni huna chochote[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]