Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Biometric finger prints sasa tu jiulize kiwanja kile kita-swap na ku-access election management system bila ya blood circulation?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi jua Mkuu je kama ' Jamaa ' hao ( Mafia ) walipomkamata walienda nae huko katika hiyo ' Mifumo ' yao ya Kiteknolojia kisha kwa ' mateso ' waliyompa ' Marehemu ' labda alikubali kuweka hicho ' Kiganja ' chake kwa ' Kuswapu ' huko kisha walipoona wamefanikiwa ndiyo wakaenda kummaliza. Hivi hili nalo umeshindwa tu kulifikiria Mkuu ukiwa kama Great Thinker wa JF?
 
Ila marehemu alifanya vyema kuwa hakikishia waKenya hakutakuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi huu.

Sasa kawahakikishia Wakenya halafu Yeye ndiyo kawatangulia ' Kuzimu '. Vitu vingine unatakiwa utumie sana akili kuvisema na siyo kama alivyokurupuka Yeye. Hapana chezea ' Mafia ' Mkuu.
 
Foolish Creature.
mambo ya kenya we huyajui na unashadadia vitu usivo vijua
hili andiko lako umeandika ki shakunaku sana
nlkuuliza lini msemaji wa kdf alisema wanaratibu wizi wa kura? Hujajibu
je hujui kama idara ya polisi kenya iko huru? hujajibu
je tume ya uchaguzi Kenya ni huru?
then how serkali inaweza kuwaingilia na kuamuru mauwaji?
kenya sio bongo brooh kule kuna baraza la kusimamia polisi so kama polisi ilfanya uzembe wa kutomskiliza musando ilo baraza linge/litashughulikia polisi
tafta katiba ya kenya brother ujielimishe kidogo madaraka ya raisi wao yanagomea wap

uchaguzi kenya hautuhusu wala hatuwasaidii kupiga kura so bandiko lako ni useless
nmechangia kidogo tuu sababu ya bandiko lako linapotosha na uchochezi kwa ndugu zetu hawa

sjui how sure u're na hivo fake vyanzo vyako?
 
Ben Sanane yuko wapi?
Hizi nchi zetu zina laana...ndio maana viongozi wetu wanaongea kama wendawazimu

Sent using Jamii Forums mobile app

Oya hapa tunamuongelea Chris Msando na usituletee taarifa yako ya kupotea kwa Ben Saanane wakati tayari Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alishasema kuwa Mbowe ( Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA ) anajua alipo. au hukumsikia Mbunge Kubenea aliposema hili?

Hapa ' mada ' Kuu ni Marehemu Msando hivyo usitake ' Kunichefua ' kwa kutuletea huyo ' Kiumbe ' wenu ambaye kiuhalisia CHADEMA wote mnajua aliko.
 

Foolish Creature.
 
So what is like? Pathetic

wacha maneno jibu hoja sio unaanza kujisia hapa
 
So what is like? Pathetic

wacha maneno jibu hoja sio unaanza kujisia hapa

Irudie tena kuisoma ' Signature ' yangu itakupa majibu kamili otherwise una mengi ya kujifunza na hata kuchukua kutoka Kwangu. Kazi yangu kubwa ni ' Kukutesa ' tu ' Kisaikolojia ' na nashukuru sasa naanza kufanikiwa na Wewe.
 
Yeah like Your mother!!

Wacha kelele tanua ni weke

Haya majibu yako tayari yameshanionyesha kuwa nimefanikiwa mno kukutoa katika reli na kuharibu ' totally ' Saikolojia yako na umeanza ' kuhamaki ' kitu ambacho ndicho nilikitaka nikifanye Kwako. Huyo ndiyo GENTAMYCINE na pole sana!
 
Irudie tena kuisoma ' Signature ' yangu itakupa majibu kamili otherwise una mengi ya kujifunza na hata kuchukua kutoka Kwangu. Kazi yangu kubwa ni ' Kukutesa ' tu ' Kisaikolojia ' na nashukuru sasa naanza kufanikiwa na Wewe.
hahaaa jipe moyo!!!
unawatesa mabwana zako not me!!!!
hata ivo ungekua na bahati sana maana sina uo upuuzi wa kuanza kusoma profile za watu humu jf
 

Oya huyu ' Ndito ' ndiyo kaondoka kwenda ' Kuzimu ' na Msando wa IEBC? Na nasikia alikuwa ndiyo anaenda ' Kumbandua ' au? Ila kama ni huyu hata Mimi ' angenitega ' na ' niuwawe ' tu wallahi. Mtoto mzuri na bado mbichi kabisa halafu lazima atakuwa alikuwa na ' Mbunye ' nzuri mno kwani mdomo wake tu ' unasadiki ' hilo. Kaondoka na ' Urembo ' wake hakyanani.
 
Haya majibu yako tayari yameshanionyesha kuwa nimefanikiwa mno kukutoa katika reli na kuharibu ' totally ' Saikolojia yako na umeanza ' kuhamaki ' kitu ambacho ndicho nilikitaka nikifanye Kwako. Huyo ndiyo GENTAMYCINE na pole sana!
uskimbilie kwa moderators tuu
maana maneno mchafu umeyaanzisha wewe kwa kusindwa kujibu hoja af et unajisifia kuwatoa watu kwe reli

sio wote tnaakili za kukariri ka zako
 
hahaaa jipe moyo!!!
unawatesa mabwana zako not me!!!!
hata ivo ungekua na bahati sana maana sina uo upuuzi wa kuanza kusoma profile za watu humu jf

Natizama ' Likes ' ulizopata humu katika michango yako yote sioni hata moja. Tatizo lako ' Nyota ' Mkuu hivyo njoo nikupe mbinu ' ndogo ' ya kukufanya ukubalike na uwe kipenzi cha Watu ( Members ) hapa JF. Wewe unadhani ' signature ' yangu nilivyoiandika kwamba ' Purely Talented and Charismatic Fella ' nilikosea?
 
Kenya assassination ya watu maarufu haijaanza leo
Kumbuka kifo cha Tom mboya alivyopigwa risasi akitokea dukani kununua pyfume. ..enzi za Jomo kinyatta

Kumbukaka kifo cho Houko alivyotunguliwa kwenye ndege na mwili wake kuchomwa moto porini enzi za Arap moi..
Mauaji yapo mengi mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uskimbilie kwa moderators tuu
maana maneno mchafu umeyaanzisha wewe kwa kusindwa kujibu hoja af et unajisifia kuwatoa watu kwe reli

sio wote tnaakili za kukariri ka zako

Naona unavyozidi tu ' kuweweseka ' na ' dozi ' ya dawa aina ya GENTAMYCINE Mkuu. Pole sana na Mimi nimebobea mno katika ' Psychological War ' na naiweza kweli. Nilichokunyia hadi sasa hatimaye umetoka katika ' reli ' ni 3% tu ya ujuzi nilionao wa Vita vya Kisaikolojia je ningetumia 5% si ungesha log out kabisa ukalale? Twende Kazi Mkuu na leo ' nakesha ' hapa JF hivyo nimefuahi kulipata ' Boya ' la kulipelekesha ili linichangamshe na nisiweze ' Kusinzia '.
 
siko jf sabab ya kufurahisha watu
niko hapa kuwakilisha maoni yangu tuu!!!!!
so uko hapa kuteka akili za watu sabab ya like?
anyway kwa hizi comment 2 tatu znatosha kwa wenye akili kujua we ni mtu wa aina gani
 
Mkuu ndo maana mimi naipenda Tanzania na CCM, South Africa na ANC, Uganda na (Museveni), Rwanda na (Kagame), Burundi na (Nkurunzinza), Zimbabwe na (Mugabe), Congo na (Kabila) Huo ni uwongozi wa kutawala milele. Hii kitu inaitwa Democrasy na katiba mpya its confusing Kenyans. Democrasy iliwekwa na wamarekane kupata sababu zakutawala nchi za Africa kupitia vita pamoja nakuweka viongozi wabovu kupata resources. Ujamaa ndo suluhisho la Africa. Nataka Odinga akiingia madarakani aitawale Kenya hadi anakufa. That's the only African solution. Democracy is confusing many African countries. CCM hoyeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…