Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Jawani, jamani, ...majirani zetu wanahitaji kuombwewa maana wanakoelekea sasa ni mashaka matupu!
Haya hapa mengine...

 

Kwa nini uwaze NASA wakati JUBILEE ndio walitakiwa watoe uLINZI KWAKE NA HAWAKUFANYA hivyo

kwangu mimi hii soo ni ya bwana RUTTO na U.K
 
Maelezo yako mbona yana hitimisha kuwa kuwa Jubilee ndio wamehusika? Kwanini si NASA kwa kutafuta public sympathy kupitia mgongo wa Kura kuibiwa na kuingiza nchi kwenye machafuko? NASA hata kabla ya kupotea kwa msando walileta story za kuibiwa kura na hata baada ya Msando kupatikana ndio wameonesha wazi kuwa hawana imani na mfumo wa matokeo ,,,,Kwanini sio kwamba hili jambo limepangwa ili kuonesha ulimwengu kuwa Kura zinaibiwa?
Mimi bado nina wasi wasi kabisa na pande zote kuhusika........maana mazingira ya kifo cha Msando bado kina waweka kwenye mashaka pande zote mbili kuhusika...
 
Habari ya wauaji kukata kiganjia siyo kweli. Mwili umepatikana na mikono yote miwili ila inayo majeraha ya kisu.Picha Zipo mtandaoni ,kwa sababu za kimaadili siwezi kuzirusha hapa.
 
Tunaweza tusiwe na uhakika lakini haina shaka kifo cha huyu bwana kilipangwa. Wakenya wakitafuta uongozi UTU huwaondoka kabisaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah, nakikumbuka kitabu nilisoma zamaani kinaitwa "The River Between ". Mhusika mmoja alikuwa akiitwa Waiyaki na mwingine kama sikosei ni Gikuyu Mumbi! Ah basi acha nisiendelee!
 
Kwa nini uwaze NASA wakati JUBILEE ndio walitakiwa watoe uLINZI KWAKE NA HAWAKUFANYA hivyo

kwangu mimi hii soo ni ya bwana RUTTO na U.K
Kimsingi kutopewa Ulinzi haraka hakufanyi hitimisho kuwa Jubilee ndio wahausika maana wengine tunaweza kusema kuwa NASA wametumia huu mwanya kummaliza ili kuonesha na kuthibitisha kuna wizi wa kura....
 
Habari ya wauaji kukata kiganjia siyo kweli. Mwili umepatikana na mikono yote miwili ila inayo majeraha ya kisu.
Ndio maana nasema hivi kwenye mauaji yake kuna maswali wengi.... Halafu hivi kama kiganja kikikatwa finger print itafanya kazi? Hivi finger print haitegemei mzunguzo wa damu?
 
Movie za James Bond We Strong Antibiotic nakuiubali sana kwa kufikiri krb na ukweli we si wa Africa
 
Africa ni bara la ajabu mno mno maana always tunaangalia tulipoangukia sio kujikwaa,ni huzuni mno maisha ya binadamu wenzetu yanapotea hivi bila ya sababu maalum,why kura zikishapigwa kituoni ,kuhesabiwa pale na kuingizwa moja kwa moja katika mfumo mkuu wa matokeo kuwa tatizo ?mbona wenzetu hapa hapa SADC wanafanya hili kwa hiyo aliyeko nyumbani,au kwenye ktuo kikuu cha makusanyio ya kura unapata matokeo moja kwa moja,wote mnaangalia kwenye big screen kura zikiingia na mshindi kuanza kuonekana mapema ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…