Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Ww una akili nzito sana ya kufukiria

Umeniwahi nami niliwaza kuandika kitu kama hicho. Unajua ni rahisi ku assess uwezo wa mtu kupitia maandishi kama haya
 
Kwa uelewa wangu mdogo Jamaa alikosea sana kuzungumzia mambo ya uchaguzi utoto ulimzidi alipaswa atafakari kuwa siasa ni uongo na hajawahi tokea demokrasia ikafanya kazi duniani ww nani kiganja chako ndio kiamue mambo pole yake kwa maumivu aliyoyapata kabla ya kupoteza maisha apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ila marehemu alifanya vyema kuwa hakikishia waKenya hakutakuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi huu.
 
Hii ni taaluma, na mlet mada kaongea kitaalamu, sasa kama kuna kilichokukwaza hiyo haimuhusu maana maswali yako ya kishabiki hata wewe unaweza kuyajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru sana kwa kunijibia huyo ' Mpuuzi ' kwani pengine ningemjibu Mimi asingetamani tena kubahatika kukutana na hii ID humu JF.
 
Aisee; umeitendea haki makala yako.Angalia usihusishwe kwenye huo msafara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakiniweza wakafukue ' Kaburi ' la aliyenipika. Ukishazijua njia zao na Wewe unacheza nazo hizo hizo hadi mwishowe wanaomba ' Urafiki ' na Wewe na hata ' Kukuogopa ' pia. Huyo ' Marehemu ' Msando nimemlaumu kitu kimoja tu na nimeshangaa sana kama kweli alipita humo ' Vyuoni ' na kujifunza mambo ya ' Kimafia '. Hivi Wewe unajua fika kuwa ' unawindwa ' na pia unajulikana fika kuwa ni Mpenda ' Mbunye ' halafu ' Mafia ' wanakutegea ' Mbunye ' na Wewe bila ' Kushtuka ' unaivagaa tu kwanini usife na wakafanikisha lao?

Vifo vingi sana / mauaji mengi mno ya ' Kimafia ' wanawake huhusishwa 100% na ndiyo maana Mimi hadi ' Kufa ' Kwangu sitokuja kumuamini ' Kiumbe ' aitwae Mwanamke.
 
We can't say for certain the Government is involved or not. Anybody could have planned this incidents.The question is why and who is to benefit?

Wewe Mkenya hujui Kiswahili? Hii ni Afrika ya Mashariki bhana hebu tudumishe Kiswahili chetu tafadhali. Sasa kwa hii Lugha yako ya Kiingereza unadhani Watu ' Washamba Washamba ' wa kule Kagera, Kigoma, Singida na Kondoa ( Dodoma ) wataielewa kweli?
 
Du sijui na sisi 2020 itakuwa hivi

Usiwe na wasiwasi Mkuu huku Kwetu itakuwa ' shwari ' tu kama miaka yote. Tanzania hatuna huu ' Upuuzi / Upupu ' unaouona huko Kenya. Halafu nyie Wakenya mliopo humu JF hebu hakikisheni haya matendo ya ' Kikatili ' huko Kwenu yanadhibitiwa haraka kwani tumewachokeni sasa na mnatutia sana aibu wana Afrika ya Mashariki. Na safari hii Sisi Watanzania hatutapokea ' Wakimbizi ' wowote kutoka huko Kwenu ili ' mchinjane ' vizuri. Haingii akilini kabisa nchi nzuri kama Kenya yenu leo mmefikia hatua ya kuwa na ' mauwaji ' haya ya ' Kimafia '.
 

Foolish Creature.
 
Ogopa sana wanawake, kuwa makini nao, ni mama zetu Ila uhalibifu duniani umetokana nao, nafasi kama hizi zinahitaji watu waliopitia jeshini, huko kuna NIDHAMU kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimeshasema mahala kuwa siku zote ' Mafia ' wakitaka ' Kukumaliza ' lazima watafute ' Kilevi 'chako na inasemekana kwamba ' Kilevi ' cha ' Marehemu 'ni ' Mbunye ' na hiyo ' Mbunye ' nayo ilipangwa ili ifanikishe lengo la ' Wauwaji ' kwa Msando kwa makubaliano ya ' ahadi ' ya ' mtonyo ' hivyo alipofanikisha walilolitaka na Yeye pia wakampa malipo yake ambayo ni ' Umauti ' hivyo ushahidi mkubwa umeshapotezwa na ' ngoma isambe '.

Wanawake tuwatumie tu ' Vitandani ' ila kwa mengine msiwaamini 100%. Vifo vingi sana vya Kisiasa duniani vimekuwa ' vikiratibiwa ' sana na ama Wake au Marafiki wa Kike wa hao wakubwa na mifano iko mingi sana Marehemu Robert Ouko aliyekuwa nadhani Waziri huko Kenya miaka ya 90's, Marehemu Patrick Karegeya ambaye alikuwa ni Chief Spy Rwanda na Marehemu Noble Mayombo aliyekuwa Chief of Millitary Intelligence nchini Uganda.

Mwanamke ni ' Kiungo ' kizuri sana katika kufanikisha ' Kifo ' chako hasa ukiwa ama Mwanasiasa au Mtu maarufu au Tajiri hivyo tuweni makini nao sana.
 
acha uwongo wewe lini msemaji wa kdf alsema wanaratibu wizi wa kura?
anyway endelea kupotosha wajinga wasofatilia siasa za Kenya
by the way wa tz hawata piga kura kenya
keep it .........'your propaganda won't work out

Huwa sipotezi muda wangu na ' Fools ' na ukitaka kuthibitisha hilo kuwa Mimi na Wewe ni kama vile Mbingu na Ardhi angalia tu idadi ya ' Likes ' zangu katika ' thread ' yangu hii ' iliyotukuka ' kisha linganisha na ' Like ' yako kama umeipata mpaka muda huu. Huyu ndiyo GENTAMYCINE ' Purely Talented and Charismatic Fella '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…