Ha ha ha! Aisee nilikuwa ofline, hii interview ilinipita!
Yaani cute b ndo anasemaje eti yuko kwenye nini?
Bora mshenga umekujaa..
Mwambie izo za jana ni chai bhanaaa
Mi nashangaaa, umekuja huku hata hujanijibu mie
Nangoja mshenga asawazishe kwanza ha ha ha...
Nangoja mshenga asawazishe kwanza ha ha ha...
Afu ile ndoto nilikuota tu nimekuona......................
Mshenga hajapewa pombe, ameghairi kazi ya ushenga mpaka apewe pombe.
Hafu mkuu hizi lugha za ndoto nasikia ni za kukwepa Cyber Crime eti.
Mshenga hajapewa pombe, ameghairi kazi ya ushenga mpaka apewe pombe.
Hafu mkuu hizi lugha za ndoto nasikia ni za kukwepa Cyber Crime eti.
Afu ile ndoto nilikuota tu nimekuona......................
...........mbona desh desh...
Baadae saa ngapi mkuu?Itaendelea baadae, you keep watching....
Nilitegemea majibu sahihi
Ngoja niiendeleze mimi Hii InterviewAbiria chunga mzigo wako...
Ila ilikata kutokana na matatizo ya umeme tuuu...
Jion tupo mjengon si ndio kiwatengu?