EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

Hichi ki@cute b kinazingua bana yaani nimeanza kivutia afu ndio kinakuja sema kuwa kina BF

Ukute anamaanisha ni wewe mkuu, hebu tusubiri interview ya jioni tuone.
cute b usinifanyie hivyo mshenga!
 
Last edited by a moderator:
Ukute anamaanisha ni wewe mkuu, hebu tusubiri interview ya jioni tuone.
cute b usinifanyie hivyo mshenga!

Huyu cute b ngoja kwanza uchaguzi uishe tuone itakuwaje maana tuliahidiana baada ya uchaguzi sisi twaanza upya tena
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Aisee nilikuwa ofline, hii interview ilinipita!

Yaani cute b ndo anasemaje eti yuko kwenye nini?

Bora mshenga umekujaa..
Mwambie izo za jana ni chai bhanaaa
 
Last edited by a moderator:
Mshenga hajapewa pombe, ameghairi kazi ya ushenga mpaka apewe pombe.

Hafu mkuu hizi lugha za ndoto nasikia ni za kukwepa Cyber Crime eti.

Hahahaha mkuuu huyu ngoja tufanye mabadiliko kwanza hakika itajukikana tu
 
Mshenga hajapewa pombe, ameghairi kazi ya ushenga mpaka apewe pombe.

Hafu mkuu hizi lugha za ndoto nasikia ni za kukwepa Cyber Crime eti.

Hahahaaa pombe ya nini mkuu? Nimekusoma now rudia tena basi
 
Mkuu kiwatengu hivi season two lini!? Just as u promiced...

Umalizie alafu kama utarusu nasisi wenye maswali ya nyongeza....
 
Last edited by a moderator:
Abiria chunga mzigo wako...
Ila ilikata kutokana na matatizo ya umeme tuuu...
Jion tupo mjengon si ndio kiwatengu?
Ngoja niiendeleze mimi Hii Interview

Unaposema Bado haumini kama Kuna Mapenzi Ya Kweli kati Yenu, Huoni kwamba hauko Serious?

Hivi Kuna Uhusiano Gani wa kukaa miaka Miwili bila Kujua nini mwenzako anawaza Juu Yako?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu hivi season two lini!? Just as u promiced...

Umalizie alafu kama utarusu nasisi wenye maswali ya nyongeza....

Wew ulikuja kwenye interview ndio maana.
Mimi nilikuambia usije kiwatengu ataogopa wew haukuwlewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom