Ngoja niiendeleze mimi Hii Interview
Unaposema Bado haumini kama Kuna Mapenzi Ya Kweli kati Yenu, Huoni kwamba hauko Serious?
Hivi Kuna Uhusiano Gani wa kukaa miaka Miwili bila Kujua nini mwenzako anawaza Juu Yako?
Kiwatengu kakimbia mdahalo ha ha ha
Inabidi tumtafute mtu aimalizie
Cutie....
nikwambie tu, mi nimtaalamu wa midahalo!!
sema majukumu yanabana mnoo...
njoo basi tupige pige...
kama unapatikana!!
cute b
now? tuendelee sasa pale tulipoishia..
uliniambia una boyfriend na mpaka sasa uhusiano wako una miaka miwili!!...
swali, huyo jamaa yako mnaishi karibu?
oh, in short unaweza kuniambia power ya mahusiano yenu ikoje?
Sasa niko vyema...sogeza kiti sasa tuendelee
yaani uhusiano wenu, nini kinaupa nguvu?
Sawa jibu swali langu sasa nini kinaupa uhusiano wako nguvu, nadhani hapa huwezi kutaja love, coz mwanzoni ulisema huna uhakika kama una true love