Exclusive Interview: Tundu Lissu amwakia mwandishi kwa kutokujua maana ya "Tume Huru ya Uchaguzi". Bila mfumo mpya wa uchaguzi hakuna uchaguzi 2025

Exclusive Interview: Tundu Lissu amwakia mwandishi kwa kutokujua maana ya "Tume Huru ya Uchaguzi". Bila mfumo mpya wa uchaguzi hakuna uchaguzi 2025

Lakini hii Strategy ya NO REFORMS NO ELECTIONS. CCM si ndio wanachekelea? Au itaambatana na Civil disobedience mpaka wakubali kufanya Mabadiliko kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi?
 
Hata hili kalisemea, labda uwe umelisahau tu.
Maana ya Tume Huru ya Uchaguzi; kama ni huru kweli, ndiyo yenye mamlaka na hao wa chini unao wazungumzia wewe.
Hawa wa chini hawaezi kufanya kinyume na taratibu za uchaguzi ambazo zinasimamiwa na tume huru yenyewe. Anaye kiuka taratibu anawajibishwa na Tume Huru yenyewe; na siyo chombo kingine nje ya hiyo tume. Kila mtumishi wa hiyo Tume anawajibika kwa Tume yenyewe.
Shida nayoiona inchi nzima IPO corrupty ...
 
Back
Top Bottom