Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Njaa inamtesa snKwahiyo wenzake wanaandikia Mikono yeye anaandikia Tumbo?!🤣😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa inamtesa snKwahiyo wenzake wanaandikia Mikono yeye anaandikia Tumbo?!🤣😂
Shida nayoiona inchi nzima IPO corrupty ...Hata hili kalisemea, labda uwe umelisahau tu.
Maana ya Tume Huru ya Uchaguzi; kama ni huru kweli, ndiyo yenye mamlaka na hao wa chini unao wazungumzia wewe.
Hawa wa chini hawaezi kufanya kinyume na taratibu za uchaguzi ambazo zinasimamiwa na tume huru yenyewe. Anaye kiuka taratibu anawajibishwa na Tume Huru yenyewe; na siyo chombo kingine nje ya hiyo tume. Kila mtumishi wa hiyo Tume anawajibika kwa Tume yenyewe.