Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #401
Hhhhhaaaaaa,,zari ana akili sana kakaa kimya hata kubishana na machizi, ,maana hamfikii hata robo,,hafikishi habari inavyotakiwaa ila mange kichaa
Eti kisa nlimwambia zels tusimhusishe Mungu kwenye the fun we are having! Somebody wants me to mourn here!Mungu sio athumani people... ..
Its fan (shabiki) sio fun or funny (kichekesho/ kicheko)
Hivi Zari mwenyewe hata kiswahili anajuwa kusoma kweli? Na sidhani kama hata anajuwa kuna kiumbe kinaitwa Mange.

Hahahaaaaa...
Nehiiiiii nehiii nehiiii! Noooooo! DIE HARD FUN as DIE HARD is a DESCRIPTIVE ADJECTIVE and FUN a noun. Sasa tatizo likowapi hapo English STD 4 hio tukeshe hapa?
Alafu Mimi expectation zangu Leo ingekuwa kumpelemba MALKIA ila mzimu Wa LA umetawala huu ukaribisho. Kweli Hanna amani ya bwana rohoni mwenu. Hivi wrote mnge ni ignore is ningeumbukaaa!! Team LB hoyeeeeeeee.
Hivi Zari mwenyewe hata kiswahili anajuwa kusoma kweli? Na sidhani kama hata anajuwa kuna kiumbe kinaitwa Mange.
Hhhhhaaa ameona ajikalie kimyaa urafiki na huyo hapana kabisaaa bora akae mwenyewee
Anajua lakini hana habareeee na vifukurukwinyo
Ulikua wapi shogaaaaaaaa
Hakuna cha die hard fans hapa sie tunaongea facts tuu na Linda tumesema hakuwa na haja ya ku prove nothing kwa sababu wewe Mange tumekuzowea ni MUONGO sana,Ulikuwa unataka wale misukule wako waamini Linda ni mkimbizi mtoto wa Linda hajamaliza high school acha uzushi wewe, mie nataka unijibu maswali yangu FULLSTOP, usidhani tumesahau.
Nehiiiiii nehiii nehiiii! Noooooo! DIE HARD FUN as DIE HARD is a DESCRIPTIVE ADJECTIVE and FUN a noun. Sasa tatizo likowapi hapo English STD 4 hio tukeshe hapa?
Alafu Mimi expectation zangu Leo ingekuwa kumpelemba MALKIA ila mzimu Wa LA umetawala huu ukaribisho. Kweli Hanna amani ya bwana rohoni mwenu. Hivi wrote mnge ni ignore is ningeumbukaaa!! Team LB hoyeeeeeeee.
Ana dharau yulee, kama hayupo yani...anafanya makusudi tuu...
Halleluyaaaaaaaa! For a minute nikajua MTA nii ignore kweli! Looh! Wacha kijiba kinibane! Hahaaaaaa!
Mi nishakuwa Mange tenaa! Tobaaaaaaaa! Mimi in shabiki kindakindaki. Akinya barabarani nasapoti. Kumbe je kama kabanwa na uharo mlitaja ajiharishie mseme chiziii? Bora kavua kanya kaonekana ana akili ila alizidiwa tu na gumbo. Hahahaaaaaaa!
Kwa hio yule binti ana makaratasi ya kuishi kule eeeeeh! OKAY! Mbona kama hapo juu sijayaonaaa! Sijui macho yangu mabovu? Embu Fanya kuniambatanishia ki green card chake kama hivi. Na kama hana haja ya kuji explain lengo la huh Uzi no mini?
Afu huu Uzi ni EXCLUSIVE about Linda Mange anaingiaje hapo? Si tutakuwa majuha kuijadili ushindi wa Yanga kwenye kujiliwaza baada kipigo chenu Simba! Maswali weka kiporo ikija Exclusive real house wife Wa LA jimwageee. Uongo Matola?
Mie kazi yangu Leo kuwapa kamba tu mmoja mmoja hamni angushi.

Si bora STD 4 kuliko wewe mwenye degree ya online dubai na bado una sound kama hujawahi attend shule.Wewe mshukuru Mungu kwa kukupa mzungu maana hakuna mtanzania mwenye akili zake angeweza kukuoa wewe na matusi yako mtandaoni, Frank ana baby mama sijui wanne lakini anakwambia angekuwa ana uwezo wa kumbadilishia Bhoke mama angafanya hivyo fastaa, unatia aibu mwanamke kila mtu kwako mbaya
Zari hata wakimtusi sidhani kama ataumia yule,mtu video imevuja na dildo yake hajanywa sumu iwe matusi