Halleluyaaaaaaaa! For a minute nikajua MTA nii ignore kweli! Looh! Wacha kijiba kinibane! Hahaaaaaa!
Mi nishakuwa Mange tenaa! Tobaaaaaaaa! Mimi in shabiki kindakindaki. Akinya barabarani nasapoti. Kumbe je kama kabanwa na uharo mlitaja ajiharishie mseme chiziii? Bora kavua kanya kaonekana ana akili ila alizidiwa tu na gumbo. Hahahaaaaaaa!
Kwa hio yule binti ana makaratasi ya kuishi kule eeeeeh! OKAY! Mbona kama hapo juu sijayaonaaa! Sijui macho yangu mabovu? Embu Fanya kuniambatanishia ki green card chake kama hivi. Na kama hana haja ya kuji explain lengo la huh Uzi no mini?
Afu huu Uzi ni EXCLUSIVE about Linda Mange anaingiaje hapo? Si tutakuwa majuha kuijadili ushindi wa Yanga kwenye kujiliwaza baada kipigo chenu Simba! Maswali weka kiporo ikija Exclusive real house wife Wa LA jimwageee. Uongo
Matola?
Mie kazi yangu Leo kuwapa kamba tu mmoja mmoja hamni angushi.