Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Wewe ni jobless hakika,kisa cha kufatilia utoto wote huu ni nini?Halafu sorry,we ni jinsia gani?
 
Naomben msaada juu ya kuandika post huku jf maana nashindwa
 
Na Wauza Mafriji je ? Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! :llama:
 
Na Wauza Mafriji je ? Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! :llama:
wauzaji mafundi eeeeheeeee mbona cheo kikwabwa sana umetoa!!!????? eeeeheeeeee usisahau na sembe ndukiiiiiiiiiiii
 
Hujui kuwa wanaume ni wambeya kuliko wanawake, kilichowaleta humu ni umbeya, afu umbeya sio jambo la ajabu wamuulize Ryan secrasy

Hahahaa Ryan huko mbali hivyo kitu sudi brown....umbea kwa afya bibi weee
 
Pamoja na uzee kupiga hodi mkuu Pasco ....lakini ng'ombe hazeeki maini .......hebu pitisha jicho kiduchu hapa burudani ya macho ........

Last edited by a moderator:

Tena huyu IFRS ni mmbea kutwa yupo nyuma ya mleta Uzi una nini wewe baba???unafanya nini jukwaa hili???Kama Matola mmbea usiwe unafungua kusoma thread zake.....inaonekana unapenda sana udaku na unamkubali matola bila kujijua
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na uzee kupiga hodi mkuu Pasco ....lakini ng'ombe hazeeki maini .......hebu pitisha jicho kiduchu hapa burudani ya macho ........

Asante kwa kunikumbusha hii ni bonafide genuine Pasco
 
Attachments

  • 1422882936971.jpg
    85.9 KB · Views: 402
Last edited by a moderator:

Take a breath dear...
Hii kama sio useful kwako basi sie kwetu ni useful

Kina Invisible na wenzake walifikiria mengi sana kuanzisha majukwaa tofauti tofauti na kuruhusu nyuzi nyingi bila kikomo wakijua kila mtu jicho litagota apatakapo ama kuhamia sehemu nyingine ikiwa atatua pasipomfaa!
 
Last edited by a moderator:
Tena huyu IFRS ni mmbea kutwa yupo nyuma ya mleta Uzi una nini wewe baba???unafanya nini jukwaa hili???Kama Matola mmbea usiwe unafungua kusoma thread zake.....inaonekana unapenda sana udaku na unamkubali matola bila kujijua

Wapi nimesema matola ni mmbea nafikiri una lingine zaidi ya hili.
Uzi unamzungumzia Linda lakini wewe umestick kuwazungumzia third parties.
Watu tunapowazingua akina matola,lala 1 au le mutuz sio kwamba hatuwapendi ila ni kuchangamsha jukwaa tu.
Naamini Brenda18umenielewa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…