Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know wataalam wa mambo walinena ya kuwa......UGOMVI UTAKUPA JINA TU ILA HAUWEZI KUKUPA HESHIMA.mmmmmmmwwwwwwaaaahhhh
Halafu kila akisikika ni kwenye maugomvi tu......Mmmmnh nimeanza kumsikia Mange from 2008,and you dont need to start anywhere for her to put you in her stupid blog..NOW,THAT IS A FACT!!.....good day!
Kwakweli bora hili nalo liishe.Nampongeza Linda kwa usikivu wake.Anakusoma yeye mwenyewe atakujibu yeye mwenyewe kwa ushauri mzuri uliyompa.Its over wanaonufaika na maugonvi haya watafute ajira nyingine kwa hii kibaruwa kimeota nyasi.
Wewe ni jobless hakika,kisa cha kufatilia utoto wote huu ni nini?Halafu sorry,we ni jinsia gani?
Kwani huyo Mange alianza kumtukana huyo Linda from no where?
Halafu kila akisikika ni kwenye maugomvi tu......
Umependa!?
wauzaji mafundi eeeeheeeee mbona cheo kikwabwa sana umetoa!!!????? eeeeheeeeee usisahau na sembe ndukiiiiiiiiiiiiNa Wauza Mafriji je ? Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! :llama:
Hujui kuwa wanaume ni wambeya kuliko wanawake, kilichowaleta humu ni umbeya, afu umbeya sio jambo la ajabu wamuulize Ryan secrasy
Naomben msaada juu ya kuandika post huku jf maana nashindwa
kama wewe vile
sijajua kwa nini humpendi matola
yaani whatever he is doing kwako ni kibaya
how come u hate anonymous like this?
dah sijui yani mbona wengine hatuko hvyo...!!!
just change my bro
life is too short u never know who is gonna hold ur hand
pindi ukiwa na shida
Hivi mkuu wewe huna shughuli za kufanya?
As far as I know watu makini hawana muda mchafu kama huu wa kutumika just like you
Eti nimepewa ruhusa na mumewe...... Seriously?
Haya mambo ya mitandao wenzio tuna comment just for fun especially jukwaa la maceleb, but you take it so serious mkuu, unatumia nguvu mnno
Juhudi hizi unazofanya humu zihamishie kutafuta maisha yako utakuwa mbali