Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Huu ndio ukweli wenyewe!, enzi za mishahara dirishani!, niliishawahi kuacha bahasha nzima nzima toka dirishani hadi mikononi kwa mtu!. Yani kuna wengine, wakiona tuu, akili zinawaruka, wako tayari kufanya lolote!, ndio maana vi en vogue vimejaa jiji Darsalaam huku vibinti singles ndio vinavuta hizo mashine!. PascoHahaha....Wasukuma na rangi bana....
Natumaini wote weekend ilikuwa poa na kama nilivyowaahidi last week nitaingilia kati beef la hawa wanawake kwa heshima ya Mr Mali na watoto zao pia.
Nimefanikiwa kumshawishi Linda aachane na malumbano haya amekubali lakini lazima tuweke record very clear na aliyedanganywa basi fact nitaziweka hapa.
1. Linda siyo mkimbizi
2. Linda anatumia passport ya Tanzania
3. Linda ana permanent resident permit ya US
4. Linda alifanya tour ya europe kwa kutumia Tanzanian passport na alipewa sheghen viza.
Nisikuchoshe wala usinichoshe tupate fact.
Nb: jina la Ishtaq ni la X wake ambapo tataratibu za kulibadiri zilimpotezea muda akaondoka zake.
Hizi ni fact kwa wale wanajimu wanaowaita wenzao wakimbizi.
The end.
Dinazarde Heaven on Earth Avemaria lara 1 warumi and others........
Kuuza sembe na papa lakini baba kashindwa kumstiri anapiga mizinga tu na kushinda vijiweni kula ya shida pakulala shida amjengee bs hata chanika viwanja bure hata kijichumba... daah na big design america duuh maajabu haya ya dunia....au ndio hasira za kuliwa na baba enzi hizo ndi anamkomoa mmh aaaahaaaaa
Linda mzuri jamani hilo guuu guuuu duuuuu
Oyoooo karibu sana JF Linda.Nimefurahi sana coz nakupenda hadi naumwa!
Usijali maneno ya huku,watakaokuponda ndio walewale wanaokuonea wivu ambao umeshawazoea.
Hapa topic ni hii hapa just to remind u son.Dingi yake alikuwa anaishi Mpiji Magoe Mbezi maisha ya shida pamoja na mdogo wake Richard anayeitwa Luis. Walitimuliwa na kaka yao na kwenda kuishi sehemu nyingine. Dingi yao ni mtu wa vijiweni sana.
Ha ha ha ha Linda kaumbwa jamani.....mguu ka wangu.ππππ
Kuuza sembe na papa lakini baba kashindwa kumstiri anapiga mizinga tu na kushinda vijiweni kula ya shida pakulala shida amjengee bs hata chanika viwanja bure hata kijichumba... daah na big design america duuh maajabu haya ya dunia....au ndio hasira za kuliwa na baba enzi hizo ndi anamkomoa mmh aaaahaaaaa
Huyo usukumani hata kwenye chagulaga huwezi mkuta ni bidhaa adimu ambayo lazima mang'ombe yakutoke.
Ghhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa
Dingi yake alikuwa anaishi Mpiji Magoe Mbezi maisha ya shida pamoja na mdogo wake Richard anayeitwa Luis. Walitimuliwa na kaka yao na kwenda kuishi sehemu nyingine. Dingi yao ni mtu wa vijiweni sana.
Dingi yake alikuwa anaishi Mpiji Magoe Mbezi maisha ya shida pamoja na mdogo wake Richard anayeitwa Luis. Walitimuliwa na kaka yao na kwenda kuishi sehemu nyingine. Dingi yao ni mtu wa vijiweni sana.
Leo post moja utairudia hata mara 100 na bado utaweweseka sana.
Hapa topic ni hii hapa just to remind u son.
Wayaseme basi na ya Albert Rwehumbiza kupewa tigo break pumbu ,au wanayaona ya Linda tu
Heheee Albert akashindwa kuvumilia harufu ya uvundo wa k yaan toka azaliwe hajawahi kuisikia,,,mpare kidogo afwe
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa approximation. Ukikuta mahali wamekaa wadada 8 na wanaume 2 basi una-approximate kuwa pale wamekaa wadada 10!
Miss Strong, hongera!, umesema mguu ndio kama wako!, na rangi jee?, kama ni kama ya Linda sem tulete mang'ombe?!, au tuje kisasa na viroba na lumbesa?!.Ha ha ha ha Linda kaumbwa jamani.....mguu ka wangu.ππππ
Hapa topic ni hii hapa just to remind u son.
Unatafuta gharika, hakuna wa kukutetea mkuu.
Passport yake imetolewa March 2007 ila visa imetolewa January 2007. Previous passport yske ipo wapi?
Mana visa yoyote inakuwa na passport details.
Mm naona mngeyaacha tuu hayo mambo, mtakuja kumuharibia bure. Anafikiri wazungu hawasomi hizo blog zenu. Wengi wanajua kiswahili na km ametengeneza atakuja kujiharibia.
watu wengi hutengeneza hizo viza na huonekana km real visa.
Na visa yoyote hawabbreviate jina. Huandikwa full name km passport. Visa yake imwandikwa Linda C then her surname. Never happen in any visa.