Information za Obama kila mtu anazijuwa, wewe kama document unayomiliki ni kikadi cha mpiga kura tu hapa utaweka nini.
Hapa ni JF tunacheza fair game na record zinawekwa clear na wale waliokuwa wanadanganywa hapa ndio ujiona wajinga na ndio maana watu makini hawana muda na blogs za watu kujipamba na kuattack wengine.
Wewe endelea kuweweseka tu hata Diploma ya Leyla tumefoji pia.
Ar u happy now?
Na visa yoyote hawabbreviate jina. Huandikwa full name km passport. Visa yake imwandikwa Linda C then her surname. Never happen in any visa.
Linda mzuri jamani hilo guuu guuuu duuuuu
Natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.Hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?Maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na Mungu.Ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni Mungu amekuwezesha na kukubariki usidharau wengine na ambao sawa na baba zako.Nimjengee baba yangu kwani umeambiwa ana dhiki aaaahaaaaa anazo za kumwaga labda tumsitiri uyo mzungu chokoraaa
I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura
Hold on.....
Pata glasi ya maji baridi kwanza maana umepanic mpaka unachoandika hakieleweki.
Twende taratibu unaijuwa Sheghen viza?
Hivi unajijuwa kama wewe ni mpuuzi? Nimedisclose fact kwa kibali cha muhusika na mume wake na nasimama hapa kama wakili wa Linda.
Je una lingine?
Santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kula mbuzi nakuja kulipa huko.
Hold on.....
Pata glasi ya maji baridi kwanza maana umepanic mpaka unachoandika hakieleweki.
Twende taratibu unaijuwa Sheghen viza?
Owkey tumesoma so??
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
Sheghen viza haikufanyi uishi America wala kuingia. Naongelea visa yake ya America. Na jibu ni "Passport yake imetolewa March 2007 ila visa imetolewa January 2007. Previous passport yake ipo wapi?
Chukua hiyo card yake ya settlement visa geuza the other side angalia km information ya passport vinalingana na hiyo current passport.
Yy kataka kunadiliwa ndio mana ka expose her documents. Na fans wake hamtakiwi ku panic mnatakiwa kutoa maelezo yenye facts sio matusi
Heheee Albert akashindwa kuvumilia harufu ya uvundo wa k yaan toka azaliwe hajawahi kuisikia,,,mpare kidogo afwe