Afadhali ashinde uhuru kama lilivyo Jina lake kila kitu ni uhuru kuandamana ni huru kumtukana ni huru kumsema ni huru yeye ni maendeleo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ashinde uhuru kama lilivyo Jina lake kila kitu ni uhuru kuandamana ni huru kumtukana ni huru kumsema ni huru yeye ni maendeleo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitufe vya like haviruhusu zaidi ya moja, kula likes 1000!Sababu kuna mawaziri wapumbavu ambao mwaka 2012 walikwenda kumsaidia Raila Odinga kampeni na hata aliposhinda yeye uraisi Odinga alikwenda nyumbani kwake kumpongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio shabiki wa hivyo vyama venu mkuu, but I wonder why mko so low,Poleni ccm, si kwa povu hilo. Yaani Raila akidondoshwa nitakula Balimi balaa, kinyume chake nitalia sana. Mimi mtz, msiniulize kwa nini
Hahaha ndugu unaota au?Huku ukiruhusu mfungwa apige kura
wapinzani wataachwa mbali sana.
Akili zako zilivyo wafungwa wamesingiziwa kesi na upinzani?Huku ukiruhusu mfungwa apige kura
wapinzani wataachwa mbali sana.
Hivi hizo shule mlienda kufuata uji na buluga?Kwahiyo Lowasa ana kimavi?
Yule rafiki yetu kaangukia kisogo?Rais uhuru kenyatta anaongoza kwa kura zilizohesabiwa mpaka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila lubuuva tungekuwa ktk haya maisha ya kubahatisha?Ila hii system yao hii n noma aisee cc tunaendelea tu kumsubir lubuva [emoji16][emoji16][emoji16]hapo n live kabisa hakuna haja ya lubuva
Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhani ni manzeseUsijidanganye kaka yanaimpact kubwa sana mkuuuu gap la kula 9000 sio lahisi kam uzaniavy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uhuru yupo comfortable sana angekuwa kama asiyejaribiwa odinga angepotezwa kwenye game zamaniNampenda huyu jamaa pamoja na mapungufu yake kama binadamu na kiongozi lakini kwenye kuleta maendeleo kwa Wakenya anajitahidi sana.
Kwa kila nyanja wametuzidiKenya wapo mbele kwa kweli, sisi bado sana.
Hahahahhaha, ila alishinda 2007 sema alifanyiwa figisu na mwai Kibaki. Ila ngoja tusubiri ngome za Raila labda atapiga Un Turn.Raila Odinga kama Maalim Sefu