BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nampenda huyu jamaa pamoja na mapungufu yake kama binadamu na kiongozi lakini kwenye kuleta maendeleo kwa Wakenya anajitahidi sana.
Afadhali ashinde uhuru kama lilivyo Jina lake kila kitu ni uhuru kuandamana ni huru kumtukana ni huru kumsema ni huru yeye ni maendeleo tu
Sent using Jamii Forums mobile app