EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Uhuru mshindi hadi sasa na hakuna vita itakayo tokea
Mlitaka Odinga ashinde eeeh poleni ccm
 
Eeeeh but its very disappointment to luo people ambavyo wanatamani MTU wao atawale kenya
Kama waJaluo wanatamani hayo basi wamchague mwingine wao asiye mnafiki ,mwenye kupenda maendeleo ,amani na siasa zinazozingatia sera.Huyu jamaa Odinga is not level headed ,no responsible na anajipenda zaidi kuliko nchi yake.
 
Lowassa kawaambia washangilie na kuzungurusha mikono kwakuwa eti ya yeye atashinda 2020 kwasababu Uhuru kashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulengwa nayo! πŸ™πŸ™ Alright, Ill always try πŸ™
 
Kama ilovo kawaida yao NASA washaanza kulialia! Wameanza kupost form zao eti sijui ndo original 32A! Hawa wanafik bana yaani sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…