EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Eeeeh but its very disappointment to luo people ambavyo wanatamani MTU wao atawale kenya
Kama waJaluo wanatamani hayo basi wamchague mwingine wao asiye mnafiki ,mwenye kupenda maendeleo ,amani na siasa zinazozingatia sera.Huyu jamaa Odinga is not level headed ,no responsible na anajipenda zaidi kuliko nchi yake.
 
Mimi sio shabiki wa hivyo vyama venu mkuu, but I wonder why mko so low,
Hadi mnatumia matokeo ya uchaguzi wa Kenya kufariji nafsi zenu to that extent, halafu kwa nini unywe balimi kwa matokeo ya Kenya? Mbona uko na stress hivyo jamaa?
Don't take life that serious..

You guys seem too broke,
Lowassa kawaambia washangilie na kuzungurusha mikono kwakuwa eti ya yeye atashinda 2020 kwasababu Uhuru kashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilovo kawaida yao NASA washaanza kulialia! Wameanza kupost form zao eti sijui ndo original 32A! Hawa wanafik bana yaani sijui!
 
Back
Top Bottom