EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Almost the game is over.
Sioni tena nafasi ya Raila kugeuza matokeo hayo. Uhuru ni mshindi.

Mpaka sasa kura zilizohesabiwa ni zaidi ya nusu ya watu wote waliojiandikisha.
 
 

Attachments

  • 20634621_108666386490924_2204620229298880512_n.jpg
    13.7 KB · Views: 28
Wadau hadi sasa Uhuru Kenyatta ana kura 5,447,235 sasa na 55.21% wakati Raila Odinga kura 4,340,805 sawa na 44%. Vituo vilivyohesabiwa 26,279 kati ya 49,883. Stay tuned .
 
Ccm kwisha habari zao

In God we trust
 
Umewasaidia sana kama hawajaelewa wakaungane na bashite kutafuta ukuuu wa mkoa! Simple mathematics unaweza kuwa umemzidi mwenzio kwa % moja lakini ukiibadili hiyo 1% ni sawa na wapiga kura million moja na ndio hicho kinatokea! Kadri idadi inavokuwa kubwa basi asilimia moja inabebwa na watu wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ali kiba kuwapigia kampeni NASA si jambo la ajabu... Kumbuka Ali kiba matamasha mengi nchini Kenya huwa anadhaminiwa na HASSAN ALLY JOHO (Gavana Mombasa) Ni sawa na Diamond kumpigia kampeni BASHITE (Mlezi WCB)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…