Chama cha NASA kimewayaka wanancji kudai haki yao na kupuuza matokeo yanayo tangazwa,ni baada ya IEBC kuendelea kutangaza matokeo ya urais bila kutoa utjibitisho wa form 34,hii ni fomu inayosaoniwa na kuthibitishwa na mawakala katika kituo cha kupiga kura,sheria inaitaka IEBC kutangaza matokeo pale ambapo itathibitisha fomu 34 kutoka kwenye kituo kwa njia ya kielektroniki,baada ya viongozi wa nasa kuomba angalao baadhi ya uthibitisho saa 8 usiku hadi sasa hawajapewa saa 11,na wahusika wa It hawapatikani.