pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Huyo achana nae hajui hesabuPunguza pressure, unajua asilimia inavyotafutwa? kwenye kura mil. 10 kupata badiliko la +/-1% lazima kuwe na nyongeza ya angalau kura elfu 10 wakati huo mwenzake asiongeze hata kura moja kitu ambacho ni ngumu sana.
Kwa kura zilizobaki % haitabadilika sana.
Odinga ndio basi tena hata kura zote zilizobaki apewe yeye.
lakini Laila anadanganywa na wapambe wake waliodhani atashinda! jamani kwa nyakati za leo watu wanaenda pia na haiba ya mtu. hivi kweli wataacha kuchagua mutoto wa mujini wamchague mtu toka kule porini? Je alikuwa vetted na "Muthaiga club"?🙁😛😀🙂
Mimi nataka uhuru ashinde ila alichosema raila kina ukweli
Huyu musando aliuawa kwa sababu
Na nasikia waliondoka na kidole chake
Ha ha ha! Apumzike tu asee atakuwa mgombeaji mshindwaji of all times in kenyan politics!Raila bana.. Kwani ni lazima awe Rais!!? Agombee tena next season kwa mara ya tano
Sent using Jamii Forums mobile app
asubiri matokeo alale tuMkuu huko unakoelekea nadhani si kwenyewe
In God we trust
yaezekana kweli sijui hesabu na vipi gepu la kura million 1.4 lisilobadilika mda wote hata kura zikija mpya wanaendelea kuzidiana kwa 1.4?Punguza pressure, unajua asilimia inavyotafutwa? kwenye kura mil. 10 kupata badiliko la +/-1% lazima kuwe na nyongeza ya angalau kura elfu 10 wakati huo mwenzake asiongeze hata kura moja kitu ambacho ni ngumu sana.
Kwa kura zilizobaki usitegemee kutakuwa na % change kubwa sana sana +/-2%.
Odinga ndio basi tena hata kura zote zilizobaki apewe yeye.
Wewe liccm unaejua hesabu iweje masaa yote tofauti ya kura iwe milioni 1.4?Huyo achana nae hajui hesabu
Mfano county fulani Uhuru apate kura 21,000 na Odinga apate kura 19,500 the difference is 1,500, hiyo ni insignificant figure kwenye jumla ya kura zote zaidi ya mil.10. ambayo ni sawa na 0.015% hata ikiongezwa hautaona badiliko kubwa.yaezekana kweli sijui hesabu na vipi gepu la kura million 1.4 lisilobadilika mda wote hata kura zikija mpya wanaendelea kuzidiana kwa 1.4?
Vivyo hivyo na Tanzania haiwezi kumpa nchi fisadi.Kenya haiwezi mpa msukuma nchi
Sent From Ikulu-Magogoni street
Wewe umesema kwamba asilimia hazibariki kwa kura chache sijapinga hilo bali nalo taka unielimishe mimi nisiyeelewa ni iweze kwenye " random transmitted results" kura zizidiane kwa milioni 1.4 tangu sa 9 usiku tukiacha mambo ya asilimia?Mfano county fulani Uhuru apate kura 21,000 na Odinga apate kura 19,500 the difference is 1,500, hiyo ni insignificant kwenye jumla ya kura zote zaidi ya mil.10. ambayo ni sawa na 0.015% hata ikiongezwa hautaona badiliko kubwa.
sipati picha sisonje ana hali gani????????????Ha ha ha! Apumzike tu asee atakuwa mgombeaji mshindwaji of all times in kenyan politics!