EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Raila ametoka kupeana confrence ya kishetwan! Jamaa anajituma kule hague yeye mwenyewe! Raila:Tumewaambia wafuasi wawe watulivu wakingoja tuwaambie watakavofanya. Mwanahabari/internat. Media:Unaamini ukiambia wafuasi wako wawe watulivu wakati umetoka kuwaambia umeibiwa uchaguzi watakuskia? Raila: Siko in control ya wafuasi wangu ndo maana na...kisha akanyamaza!
 
Screenshot_2017-08-09-12-19-05-1.png


What goes around always comes around
 
Punguza pressure, unajua asilimia inavyotafutwa? kwenye kura mil. 10 kupata badiliko la +/-1% lazima kuwe na nyongeza ya angalau kura elfu 10 wakati huo mwenzake asiongeze hata kura moja kitu ambacho ni ngumu sana.

Kwa kura zilizobaki % haitabadilika sana.

Odinga ndio basi tena hata kura zote zilizobaki apewe yeye.
Huyo achana nae hajui hesabu
 
lakini Laila anadanganywa na wapambe wake waliodhani atashinda! jamani kwa nyakati za leo watu wanaenda pia na haiba ya mtu. hivi kweli wataacha kuchagua mutoto wa mujini wamchague mtu toka kule porini? Je alikuwa vetted na "Muthaiga club"?🙁😛😀🙂

Kuna yule mpanbe mkuu kutoka chattle
 
Mimi nataka uhuru ashinde ila alichosema raila kina ukweli
Huyu musando aliuawa kwa sababu
Na nasikia waliondoka na kidole chake

Bro hata kwa akili ndogo ya kijasusi ukimtamzama mkuu wa tume ya uchaguzi ya kenya wakati anakwenda monchwari kuuona mwili wa msando na namna alivyokua anongea inaonekana kabisa huu mpango alikua anaujua na kuna kitu alikua anaficha...

kwa kifupi msando kama mtaalam na computer genius alikataa kununuliwa lakini boss wake tayari alikua kaisha elewana na uhuru hivyo basi ikabidi wamtangulize mbele ya haki.... hii michezo ya kifedhuli ipo saana katika nchi zetu za kiafrika, naamini kabisa raila anaibiwa kura na mara zote hua anaibiwa kama ilivyo CUF zanzibar...

lakini hakuna namna it needs to be very strong to live in africa an accept the barbaric african ways of life
 
Punguza pressure, unajua asilimia inavyotafutwa? kwenye kura mil. 10 kupata badiliko la +/-1% lazima kuwe na nyongeza ya angalau kura elfu 10 wakati huo mwenzake asiongeze hata kura moja kitu ambacho ni ngumu sana.

Kwa kura zilizobaki usitegemee kutakuwa na % change kubwa sana sana +/-2%.

Odinga ndio basi tena hata kura zote zilizobaki apewe yeye.
yaezekana kweli sijui hesabu na vipi gepu la kura million 1.4 lisilobadilika mda wote hata kura zikija mpya wanaendelea kuzidiana kwa 1.4?
 
yaezekana kweli sijui hesabu na vipi gepu la kura million 1.4 lisilobadilika mda wote hata kura zikija mpya wanaendelea kuzidiana kwa 1.4?
Mfano county fulani Uhuru apate kura 21,000 na Odinga apate kura 19,500 the difference is 1,500, hiyo ni insignificant figure kwenye jumla ya kura zote zaidi ya mil.10. ambayo ni sawa na 0.015% hata ikiongezwa hautaona badiliko kubwa.
 
Mfano county fulani Uhuru apate kura 21,000 na Odinga apate kura 19,500 the difference is 1,500, hiyo ni insignificant kwenye jumla ya kura zote zaidi ya mil.10. ambayo ni sawa na 0.015% hata ikiongezwa hautaona badiliko kubwa.
Wewe umesema kwamba asilimia hazibariki kwa kura chache sijapinga hilo bali nalo taka unielimishe mimi nisiyeelewa ni iweze kwenye " random transmitted results" kura zizidiane kwa milioni 1.4 tangu sa 9 usiku tukiacha mambo ya asilimia?
 
Back
Top Bottom