EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

kwenye system siyo tu nywila inatumika kuna vingi lakini kama marehemu ameonekana ameweza kuingia kwenye system basi kuna tatizo sehemu
 
chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile.
mkija kufanyiwa nyie msilalamike Kabisa.
 
Hii nafasi ya sijui kwa hapa bongo ni sawa na udiwani? maana nashangaa kuna jama mmoja ni kichwa sana anaitwa ALFRED MUTUA aliwahi kuwa msemaji wa serikali kwa nini asigombee ubunge apate UWAZIRI?
hapana,. devolved government governor ni kiongozi mkuu ana madaraka makuba
 
Huwezi kumuunga mkono mgombea urais ambaye anasema atatawala kama Magufuli, Magufuli ni dikteta asiyefuata utawala wa sheria anaamini utawala wa One man show ambao ni mfumo wa madikteta yote duniani, hivyo Wakenya hawahitaji rais jamii ya Magufuli, Kagame, Nkurunziza na Museveni maana wao wanaamini katika utawala wa kidemokrasia
 
Mim Nimekuelewa Sijui Sasa Kama Mleta Mada Kama Kakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kusema Maamuzi ya tume ni final ni upumbavu kabisa. I hate these shits from this Government.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…