EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Screenshot_2017-08-09-19-14-32-1.png


What goes around always comes around
 
Uhuru angeachana na kuhack matokeo tu akubali kushndwa ata wananchi wakija wakauana ataanza tena kesi za ICC na sasa wamarekani wamamleta Kerry waziri wa mambo ya Nje aliyepta wa USA pale kama mwangaliz ...ukiunganisha dot za kuuwawa IT Director wa Tume ya uchaguzi kenya na hizi fujo uhuru hatakua na pakuchomokea watampin asiamn ...aombe Mungu damu isimwagike ila awamu hii yeye na Rutto hawatachomoka...tatzo walivamia Tally Centre ya NASA nairobi wakajua wanemmalizia Raila bt Raila akawaambia anazo nyingi leo wamepata majibu cz system ya tume ya Uchaguzi IT specialist wa NASA anasema mpaka sasa Admn si mtu wa Tume ya Urais Kenya na Marehemu Msando it's like anaonekana Amelog In which means waliomtesa na kumuua watakoa walimtesa mpaka akawapa password. ..time Will Tell Uhuru and Rutto Wakenya wakiuana Watawajibika...Kikuyu Cartel must allow free and fair Election
kwenye system siyo tu nywila inatumika kuna vingi lakini kama marehemu ameonekana ameweza kuingia kwenye system basi kuna tatizo sehemu
 
chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile.
mkija kufanyiwa nyie msilalamike Kabisa.
 
Hii nafasi ya sijui kwa hapa bongo ni sawa na udiwani? maana nashangaa kuna jama mmoja ni kichwa sana anaitwa ALFRED MUTUA aliwahi kuwa msemaji wa serikali kwa nini asigombee ubunge apate UWAZIRI?
hapana,. devolved government governor ni kiongozi mkuu ana madaraka makuba
 
Huwezi kumuunga mkono mgombea urais ambaye anasema atatawala kama Magufuli, Magufuli ni dikteta asiyefuata utawala wa sheria anaamini utawala wa One man show ambao ni mfumo wa madikteta yote duniani, hivyo Wakenya hawahitaji rais jamii ya Magufuli, Kagame, Nkurunziza na Museveni maana wao wanaamini katika utawala wa kidemokrasia
 
Huwezi kumuunga mkono mgombea urais ambaye anasema atatawala kama Magufuli, Magufuli ni dikteta asiyefuata utawala wa sheria anaamini utawala wa One man show ambao ni mfumo wa madikteta yote duniani, hivyo Wakenya hawahitaji rais jamii ya Magufuli, Kagame, Nkurunziza na Museveni maana wao wanaamini katika utawala wa kidemokrasia
Mim Nimekuelewa Sijui Sasa Kama Mleta Mada Kama Kakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa sana tume ya uchaguzi ya Kenya. Baada ya Raila kulalamika kwamba matokeo ya kwenye mtandao sio sahihi yamedukuliwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kajitokeza na kusema matokeo ya kwenye luninga yasichukuliwe kama ndiyo ya mwisho. Pia kaanzisha dawati ofisi za tume na kuruhusu wawakilishi wa vyama waende wakaangalie matokeo yanayo toka vituoni kama yana fanana na ya wawakilishi wao. Tanzania tunaambiwa maamuzi ya tume ni final. Huu ni upuuzi usio wa kidemokrasia. Nawapongeza Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la kusema Maamuzi ya tume ni final ni upumbavu kabisa. I hate these shits from this Government.
 
Back
Top Bottom