EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

licha ya kuwepo kwa hali ya kutupiana vijembe kwenye mitandao kati ya sisi watanzania na wakenya,watanzania tumedhihirisha ni kiasi gani tunawapenda jirani zetu.

tumedhirisha hili katika kushiriki kikamilifu kuwatakia wakenya salamu za uchaguzi mwema kupitia twitter,instagram,facebook na ma-group ya whatsapp yanayo waunganisha wakenya na watanzania pamoja.


hizi ni baadhi ya screenshot za watanzania nilizozi-capture facebook.
 
bila shaka wakenya mna jambo la kujifunza toka kwetu.

sisi ni mijrani zenu wema tunaokuwa concern na shida zenu kuliko majirani zenu wote EA.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka matokeo ya urais wa uchaguzi wa Kenya unavyoendelea kupokelewa tofauti kura kati ya Raila na Uhuru Kenyattta inakuwa milioni moja na laki nne tu inakuwaje, inaweza kuwa ni mfumo wa Mitambo ya uchaguzi umeingiliwa (Hacking) kuweka tofauti ya idadi hiyo iendelee kuwepo ambapo matokeo ya mwisho yatampa ushindi Uhuru Kenyattta kwa kuwa na Kura milioni moja na laki nne.
 
African democracy is a shadow, nothing really

Billions of money are used in election for nothing

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu umewahi kupitia hesabu kidogo??? Hizo ni approximations tu.. chukua idadi ya UHURU TOA YA ODINGA utapata exactly figure.. usijitoe ufahamu.. Ilianza na differnce ndogo sna as the time goes on wide gap ikaanza chanua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana na akina RAILA wezi maana wanajuaje mitambo kuhakiwa kama wao hawajahak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…