Mtanzania Mzawa
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 401
- 405
Do you know what is tallying centre. ...googleInaonekana na akina RAILA wezi maana wanajuaje mitambo kuhakiwa kama wao hawajahak
Sent using Jamii Forums mobile app
Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
Naunga mkono hoja 100%mkuutatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.
i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
Ilianza 57% kwa 39% siku ile ya kwanzaratio ni 54% na 44% tu, mungu anawaona
Hapo kwenye kupiga hatua ujaeleweka, ni hatua moja tu muhimu magu ataipiga nayo ni kupambana na upinzani,tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.
i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.
i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
Wanawekwa pamoja na itikadi ambayo ni zaidi ya siasa na sio urafiki wa kawaida kama unavyosema same case applies kwa uhuru na lowassa. Pair hizi ni mawakala.tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.
i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.