EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.

tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.

i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
 
Jirani zangu nawaomba mumalize hii kadhia katika meza ya majadiliano bila kumwaga damu maana mkivurugana sijui mtakimbilia wapi jirani kwani hata sisi tunaishi kama nusu wakimbizi kwa heka heka bwana mkubwa mkija uku uyu mtoza ushuru Zakayo(maana ushuru ndio kitu anajua) hakika atawalaza njaa mchana kweupe.
Mungu awapiganie na awape moyo wa subira pia busara itawale pande zote zinazokinzana maana juu ya yote nyinyi ni ndugu mnaunganishwa na u-Kenya wenu narudi kuwakumbusha sisi uku ni wakimbizi ingawa kimya kimya mkija ujirani ndio utakufa kabisaaa.
 
tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.

i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
Naunga mkono hoja 100%mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kupiga hatua ujaeleweka, ni hatua moja tu muhimu magu ataipiga nayo ni kupambana na upinzani,

kwa makusanyo ya bln 700,000.00 kwa mwezi na yote ikaishia kulipa mshahara na OCs kwa hatua ya maendeleo sahau.

zaidi tutarajie pia deni la taifa kukua maanake kuongezeka kwa mzunguko wa ufukara kwa nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.

i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.

Mkuu nchi haitakaa iende mikononi mwa upinzani dhaifu wa Tanzania, kwa Kenya hata Raila akishinda wamejijenga kwa ajili ya kuchukua dola si hawa wa kwetu. Wala usiumie nchi iko salama na itaendelea kuwa salama. Watu viongozi wenggi wa upinzani ni wadaiwa wa serikali hiii walikwapua mali kwa njia ya ubinafsisshaji wakaahidi ;
  • watleta teknolojia mya kwenye viwanda
  • wataongeza ajira
  • watapanua upatikanaji wa kodi kwa serikali
  • watasaidia kiunua pato la taifa
matokeo yake wakachukua HATI za viwanda wakaenda kukopa nje ya nchi, halafu leo wanatumia mikopo hiyo kuimalisha vyama badala ya kuwekeza. KESI ZA UHUJUMU UCHUMI ZINAWASUBIRI HATUWEZI KUENDEKEZA UJINGA. NDIYO MAANA WANASALI KUTWA KUCHA MAGUFULI ASIFAULU SERA ZAKE.
NCHI IKO MIKONNONI SALAMA USIHOFU
 
tatizo la chadema na ukawa ni visasi tu hawana mapenzi yoyote kwa uhuru, roho inawauma kwakua Odinga na magufuli wana urafiki wa muda mrefu sasa wanaumia na kuona kama marafiki hawa wakiwa marais wa nchi hizi mbili na wakitumia urafiki wao kuna uwezekano mkubwa serikali zao na watu wao wakapiga hatua na hilo kwao ni kosa kwakua hawatakua na cha kuwashawishi watanzania wawachague... tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu ni unafiki uliotukuka, mtazameni mange kimambi huko kwenye ukurasa wake yeye ana jihidhirisha kabisaaaa kua anataka odinga ashindwe ili magufuli aumie, amesahau kua hata yeye alikua uvccm na aliwahi hadi kugombea nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho...nasisitiza nchi yetu haitoendelea na kua salama mpaka tutubu na kuziacha kabisa hizi tabia za unafiki.

i declare interest sina chama na sijawahi kua mwana chama wa chama chochote cha siasa na sina mpango huo nitabaki kua mpiga kura huria mtazama sera, weledi na dhamira za kweli kutoka kwa wagombea.
Wanawekwa pamoja na itikadi ambayo ni zaidi ya siasa na sio urafiki wa kawaida kama unavyosema same case applies kwa uhuru na lowassa. Pair hizi ni mawakala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kwenye Tv kuwa kuna mwanahabari ameshinda U-mp wa nyali huko kenya anakwenda kwa jina la mohamed ali, nilitaka kujua kama ni yule wa jicho pevu maana nilisikia alibwagwa kwenye kura za maoni za nasa, sasa aligombea vipi tena, au alikuwa independent? Mwenye taarifa zake naomba kujuzwa.
 
Ndio huyo huyo wa jicho pevu na aligombeaa kama mgombeaa huru maana kwenye chama walimtosa ,,akaamuaa kugombeaa kama mgombeaa huru na kashindaa,,jamaa kapgana sanaa alijitoaa maisha yake

shushushu VIP
 
Ni yeye, amemshinda binamu wa gavana wa Mombasa bwana Joho

557684.jpg

Journalist Mohammed Ali. /FILE
Joho's cousin concedes defeat to journalist Mohammed Ali
 
Sielewi kwanini ODM walimkataa huyu mtu.... alikuwa ni asset sana hasa ukiangalia umakini wake kwenye kujenga hoja na kufuatilia mambo kwa kiutafiti zaidi

I hope huko mbele watamrudisha kundini
 
Bwanaaaa spikaaa naonaa ni kamaa hutaki niongeee lakiniii jicho pevu linakuonaaa, usibonyeze kidudee narudi na uhondoo wotee baaada ya muda usiokua mrefuuu! Dah bunge ya wakati huu itakuwa ni full comedy! Hongera Mheshimiwa Mohaa!
 
Back
Top Bottom