shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Itengeni chato kuwa nchi theñ mmpe huyo local mañ hiyo nchi yenu aiongozee, kenya haiwezi kuongozwa na idiotOdinga amekuwa rais wa mioyo ya wakenya kwa miaka mingi sana..umefika wakati apewe haki yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuu. Kusema ukweli mimi pia nimejaribu kuwaeleza watu hilo lakini hawa mapimbi wanajifanya malimbukeni.Inaonekana na akina RAILA wezi maana wanajuaje mitambo kuhakiwa kama wao hawajahak
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wakikuyu wanaoamini wao pekee ndio walipigania uhuru wa kenya ndio wamuchie non kikuyu awe rais???? Mark my words mkuu hilo halitokaa itokee sio kwa wakikuyu walivyo hta kibaki promised the same to musyoka and raila ila alipotoka mbona mkikuyu alikwisha andaliwa!!!!! Narudia tena 2020 ruto ata team na hawa kina musyoka and mudavadi wait and seeRuto ndo mgombea urais wa jubilee 2022
Umeshaambiwa source ya taarifa ni kutoka mole wao wa IEBC ssa wamehack wapi?? Walishasema thr source analindwa kma nasa nao wamehack database ya IEBC then wadai IEBC iko hacked huoni wangekuwa wamejikamatisha wenyewe???? ur defense is lame ukweli utabaki kuwa mlimuua msando ili mje kutimiza azma yenu but mtayalipia tu hya siku mojaUmenena mkuu. Kusema ukweli mimi pia nimejaribu kuwaeleza watu hilo lakini hawa mapimbi wanajifanya malimbukeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee achana na hawa ma-cousins wetu unaweka fitina isio na msingi .Hakuna kitu kama hicho Kibaki hawezi ahidi mtu yeyote kiti cha urais sababu Kenya ni demokrasia.Hawa wakikuyu wanaoamini wao pekee ndio walipigania uhuru wa kenya ndio wamuchie non kikuyu awe rais???? Mark my words mkuu hilo halitokaa itokee sio kwa wakikuyu walivyo hta kibaki promised the same to musyoka and raila ila alipotoka mbona mkikuyu alikwisha andaliwa!!!!! Narudia tena 2020 ruto ata team na hawa kina musyoka and mudavadi wait and see
Hivi nyie wapinga kila kitu na kujiona mnajua sana mnatokea dunia gani?Umeshaambiwa source ya taarifa ni kutoka mole wao wa IEBC ssa wamehack wapi?? Walishasema thr source analindwa kma nasa nao wamehack database ya IEBC then wadai IEBC iko hacked huoni wangekuwa wamejikamatisha wenyewe???? ur defense is lame ukweli utabaki kuwa mlimuua msando ili mje kutimiza azma yenu but mtayalipia tu hya siku moja
Nkimkumbuka ouko na Tom mboya napata hasira sana
Umeongea yote mkuu.,Hivi nyie wapinga kila kitu na kujiona mnajua sana mnatokea dunia gani?
Waangalizi wote wamesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Baba yenu huyo a.k.a Yoshua ameomba fomu na 34 sijui 38,zirudiwe kuangaliwa,zimerudiwa,bado hakuna tofauti na zilizotangazwa,mnataka nini kudhibitisha kuwa mmeshindwa kihalali?
Shida moja ya madikteta kote ulimwenguni ni kufikiri daima hawachuji.
Wanajidanganya!
Jubilee wamejitahidi sana awamu iliyopita na ndicho matunda waliyoyafuna.
NASA badala ya kusema watafanya nn,wao walikuwa wanatukana,nani achague matusi karne hii?obvious watu wanachagua bright future,na ndicho walichokifanya.
Mwambieni Yoshua wenu/labda MJOMBA wenu ya kuwa kashindwa kwa haki.
Akatulie ale Yale aliyokwishavuna miaka ile.
Awaachie damu changa kwenye upande wao manake hakuzaliwa yeye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Those are not innocent kenya,an innocent person is how death gots him ro her without nowing what is going on in the whole processbut i agree, there are still some idiots in our country, Kenya...for example, those who went to the streets to protest in Mathare, Kisumu and led to the deaths of 4 people now....very sad that there are still very foolish ppl in this world....but i blame Raila for those killings...saying that the election has been rigged without proper evidence is very wrong...such kind of inflammatory statements is what caused the protests and the subsequent deaths of innocent Kenyans...
Historia ya Jaramogi Oginga Odinga mwandishi wa kitabu cha 'Not yet Uhuru' bado inamhukumu Raila Odinga.Odinga sasa arudi nyumbani kuendesha viwanda vyake vya kuuza maziwa.
Mwaka wa 2013 pia wale wagombea Urais wenzake wote hawakulalamika eti wizi wa kura ni yeye pekee.Sasa mwaka huu pia aliweka ma-agent wake kila kituo na wote waliweka sahihi kwamba hayo ndiyo matokeo halali ya vituo vyao.Sasa iweje kwamba hawa wote walikosa na yeye ndiye anajua zaidi?Odinga aache maneno yake kabisa,Observers :AU ,EU,Common wealth,John Kerry wote wanasema uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi,yeye tu ndio analalamika?Hao watu wote wamehongwa na Uhuru?Akubali kushindwa tu!