EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Screenshot_2017-08-10-17-22-00-1.png

What goes around always comes around
 
Huu ni muda hatari kwa wakenya hapa kwenye kumalizia

What goes around always comes around
 
Katika sheria tunasema: "siyo tu haki itendeke,isipokuwa ionekane inatendeka". Pale panapokuwa na sheria busara haina nafasi.Tume ya uchaguzi ya Kenya ilikosea kufanya njia ya mkato.
Kwa hiyo,Raila hata kama hatashinda lakini anatetea kufuatwa kwa taratibu na sheria za uchaguzi.
 
Kenya ni nchi yenye kiwango cha juu kabisa kwa chuki za kikabila. Nkiangalia jinsi wakikuyu wanavyotokwa povu kwenye media kulazimisha wananchi wakubaliane na matokeo ya IEBC nabaki naduwaa!

Kitu kimoja ni dhahili, Raila hawezi kupewa madaraka hata kama ameshinda uchaguzi. Lakini anachofanya ni kitu sahihi katika mustakabali wa taifa hilo. Hii tabia ya impunity ikiiendelea, yatatokea machafuko zaidi ya haya.

Mwaka 2022 kuna uchaguzi unakuja, na William Rutto itakuwa zamu yake kulia machozi ya damu kama afanyavyo Raila sasa, maana wakikuyu kamwe hataruhusu mtu aliyewauwa wenzao kikatili katika kanisa ka kiambaa kuchukua madaraka. Na hapo ndiyo itakuwa balaa zaidi, kwani wakalenjini siyo wavumilivu kama wajaluo
 
Ruto ndo mgombea urais wa jubilee 2022
Hawa wakikuyu wanaoamini wao pekee ndio walipigania uhuru wa kenya ndio wamuchie non kikuyu awe rais???? Mark my words mkuu hilo halitokaa itokee sio kwa wakikuyu walivyo hta kibaki promised the same to musyoka and raila ila alipotoka mbona mkikuyu alikwisha andaliwa!!!!! Narudia tena 2020 ruto ata team na hawa kina musyoka and mudavadi wait and see
 
Umenena mkuu. Kusema ukweli mimi pia nimejaribu kuwaeleza watu hilo lakini hawa mapimbi wanajifanya malimbukeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaambiwa source ya taarifa ni kutoka mole wao wa IEBC ssa wamehack wapi?? Walishasema thr source analindwa kma nasa nao wamehack database ya IEBC then wadai IEBC iko hacked huoni wangekuwa wamejikamatisha wenyewe???? ur defense is lame ukweli utabaki kuwa mlimuua msando ili mje kutimiza azma yenu but mtayalipia tu hya siku moja

Nkimkumbuka ouko na Tom mboya napata hasira sana
 
Honestly speaking, kwa hali ya Kenya ilivyo, Odinga hawezi kuwa rais wa Kenya. He should forget it!!!!
 
Hawa wakikuyu wanaoamini wao pekee ndio walipigania uhuru wa kenya ndio wamuchie non kikuyu awe rais???? Mark my words mkuu hilo halitokaa itokee sio kwa wakikuyu walivyo hta kibaki promised the same to musyoka and raila ila alipotoka mbona mkikuyu alikwisha andaliwa!!!!! Narudia tena 2020 ruto ata team na hawa kina musyoka and mudavadi wait and see
Wee achana na hawa ma-cousins wetu unaweka fitina isio na msingi .Hakuna kitu kama hicho Kibaki hawezi ahidi mtu yeyote kiti cha urais sababu Kenya ni demokrasia.
 
Odinga aache maneno yake kabisa,Observers :AU ,EU,Common wealth,John Kerry wote wanasema uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi,yeye tu ndio analalamika?Hao watu wote wamehongwa na Uhuru?Akubali kushindwa tu!
 
Umeshaambiwa source ya taarifa ni kutoka mole wao wa IEBC ssa wamehack wapi?? Walishasema thr source analindwa kma nasa nao wamehack database ya IEBC then wadai IEBC iko hacked huoni wangekuwa wamejikamatisha wenyewe???? ur defense is lame ukweli utabaki kuwa mlimuua msando ili mje kutimiza azma yenu but mtayalipia tu hya siku moja

Nkimkumbuka ouko na Tom mboya napata hasira sana
Hivi nyie wapinga kila kitu na kujiona mnajua sana mnatokea dunia gani?
Waangalizi wote wamesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Baba yenu huyo a.k.a Yoshua ameomba fomu na 34 sijui 38,zirudiwe kuangaliwa,zimerudiwa,bado hakuna tofauti na zilizotangazwa,mnataka nini kudhibitisha kuwa mmeshindwa kihalali?
Shida moja ya madikteta kote ulimwenguni ni kufikiri daima hawachuji.
Wanajidanganya!
Jubilee wamejitahidi sana awamu iliyopita na ndicho matunda waliyoyafuna.
NASA badala ya kusema watafanya nn,wao walikuwa wanatukana,nani achague matusi karne hii?obvious watu wanachagua bright future,na ndicho walichokifanya.
Mwambieni Yoshua wenu/labda MJOMBA wenu ya kuwa kashindwa kwa haki.
Akatulie ale Yale aliyokwishavuna miaka ile.
Awaachie damu changa kwenye upande wao manake hakuzaliwa yeye tu

Umeongea yote mkuu.,
 
but i agree, there are still some idiots in our country, Kenya...for example, those who went to the streets to protest in Mathare, Kisumu and led to the deaths of 4 people now....very sad that there are still very foolish ppl in this world....but i blame Raila for those killings...saying that the election has been rigged without proper evidence is very wrong...such kind of inflammatory statements is what caused the protests and the subsequent deaths of innocent Kenyans...
Those are not innocent kenya,an innocent person is how death gots him ro her without nowing what is going on in the whole process
 
Odinga sasa arudi nyumbani kuendesha viwanda vyake vya kuuza maziwa.
Historia ya Jaramogi Oginga Odinga mwandishi wa kitabu cha 'Not yet Uhuru' bado inamhukumu Raila Odinga.

'Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukio ... Maandiko huwa hayadanganyi.
 
Odinga aache maneno yake kabisa,Observers :AU ,EU,Common wealth,John Kerry wote wanasema uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi,yeye tu ndio analalamika?Hao watu wote wamehongwa na Uhuru?Akubali kushindwa tu!
Mwaka wa 2013 pia wale wagombea Urais wenzake wote hawakulalamika eti wizi wa kura ni yeye pekee.Sasa mwaka huu pia aliweka ma-agent wake kila kituo na wote waliweka sahihi kwamba hayo ndiyo matokeo halali ya vituo vyao.Sasa iweje kwamba hawa wote walikosa na yeye ndiye anajua zaidi?
 
Back
Top Bottom