EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Raila amesha pewa mda wa siku 3 kujiandaa kisaikolojia kupokea matokeo... Kama hajajiandaa asije kulalamika Kenyatta kamuuwa kwa presha....
 
8c478b34eab4ef8519c932408c044bfe.jpg


sent from iPhone 7
 
Odinga aache maneno yake kabisa,Observers :AU ,EU,Common wealth,John Kerry wote wanasema uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi,yeye tu ndio analalamika?Hao watu wote wamehongwa na Uhuru?Akubali kushindwa tu!

Nyamaza wewe ikiwa haujui kitu.

Wanaposema uchaguz ulikuwa huru na wa haki hawamaanishi udukuzi. Wanachomaanisha ni ule utaratibu wa watu kujiandikisha, kupiga kura, na utoaji au utangazaj wa matokeo kwa kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Yote hayo yamefuata utaratibu, lakini suala la udukuzi na wizi wa kura hilo sio kaz yao ni kazi ya mahakama na wapelelezi mara pale upande mmoja unapogundua kuna tatizo katika ujumlishaji wa kura.
 
UKAWANASA
UMEME

MFANANO WA UHURU NA MAGUFULI

NA MFANANO WA ODINGA NA LOWASSA

UHURU KAPATA 8,043,470
MAGUFULI ALIPATA 8,800,000

UHURU NI RAIS WA KENYA
MAGUFULI NI RAIS WA TANZANIA,

HAYA SASA,

ODINGA KAPATA 6,643,819

LOWASSA ALIPATA 6,200,000

ODINGA ALIWAHI KUWA WAZIRI MKUU
HATA LOWASSA ALIKUWA WAZIRU MKUU,

ODINGA ALIWAKILISHA VYAMA VYA MUUNGANO WA UPINZANI

LOWASSA NAYE ALIWAKILISHA MUUNGANO WA VYAMA VYA UPINZANI.

UKAWA+ NASA, =UKAWANASA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Citizen wanaonyesha ulinzi wa rais ukiimarishwa Bomas. IEBC bado kutangaza matokea, lakini maandalizi haya yanaonyesha ndiye mshindi baada ya kuhakiki formu 34A and 34B.
NASA hakuna kiongozi wa juu hata mmoja...... dalili ya mvua ni mawingu....
 
Nimeona kwenye Tv kuwa kuna mwanahabari ameshinda U-mp wa nyali huko kenya anakwenda kwa jina la mohamed ali, nilitaka kujua kama ni yule wa jicho pevu maana nilisikia alibwagwa kwenye kura za maoni za nasa, sasa aligombea vipi tena, au alikuwa independent? Mwenye taarifa zake naomba kujuzwa.
Aligombea kama mgombea binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee achana na hawa ma-cousins wetu unaweka fitina isio na msingi .Hakuna kitu kama hicho Kibaki hawezi ahidi mtu yeyote kiti cha urais sababu Kenya ni demokrasia.
Mkuu mimi ni mtanzania ila nmeishi sana kenya hivyo najua nachosema ...... kenya ukabila una matter kuliko kitu chochote both sides na usijifanye hujui walipompa odinga uwaziri mkuu kibaki alidai atasupport transition of power kutoka kwake hadi kwa odinga tafuta ile video ya siku wakizindua katiba mpya hii ya sasa kibaki was clear kabisa kuwa anamsupport odinga kuwa next president kumbe huku nyuma tayari anamuandaa mkikuyu uhuru agombee!!!!

Narudia tena Ruto will neva be the president 2022 yye wanamtumia tu kupata kura za rift valley kwa wakalenjin hukooo ila usishangae 2022 jubilee wakampitisha mkikuyu wa huko kiambu au kirinyaga kuwa Rais wait and see time is a good judge
 
Hivi nyie wapinga kila kitu na kujiona mnajua sana mnatokea dunia gani?
Waangalizi wote wamesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Baba yenu huyo a.k.a Yoshua ameomba fomu na 34 sijui 38,zirudiwe kuangaliwa,zimerudiwa,bado hakuna tofauti na zilizotangazwa,mnataka nini kudhibitisha kuwa mmeshindwa kihalali?
Shida moja ya madikteta kote ulimwenguni ni kufikiri daima hawachuji.
Wanajidanganya!
Jubilee wamejitahidi sana awamu iliyopita na ndicho matunda waliyoyafuna.
NASA badala ya kusema watafanya nn,wao walikuwa wanatukana,nani achague matusi karne hii?obvious watu wanachagua bright future,na ndicho walichokifanya.
Mwambieni Yoshua wenu/labda MJOMBA wenu ya kuwa kashindwa kwa haki.
Akatulie ale Yale aliyokwishavuna miaka ile.
Awaachie damu changa kwenye upande wao manake hakuzaliwa yeye tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hazijatofautiana???? Kwani matokeo yametangazwa??? Hivi mkuu mbona mnapenda kupotosha NASA wameshasema documents zao zina tally tofauti na IEBC wanafanya uhakiki wa fomu zote 40,000 then wwe unakuja kupotosha hapa kwani hizo fomu zote umezicrosschek wwe by last nyt???

Get real mmi sio mkenya mpaka kuanguka kwa raila kuniume ila ni mfuasi wa demokrasia nachotaka mtu aanguke wazi wazi sio kwa maigizo wwe unasema amechuja hivi mtu aliyechuja angeweza fikisha hizo kura milion 6??? Hivi kma kenya kweli wamechagua maendeleo ndio jubilee wangeambualia 50% pekee ya seneti na ugavana????
 
Umeongea yote mkuu.,
Acheni ushabiki mkuu yaani mtu kuambulia seneti ma ugavana 50% ndio wakenya wamemchagua kwa kuangalia future??? Hivi gap ya 1 milion ndio inaonyesha odinga kachuja au uhuru ndio anakubalika???

Kaz kwelikweli..... ukabila utawamaliza wakenya coz kenya ni ya wote sio wakikuyu pekee sooner or later ya tutsi-hutu yatafika kenya
 
UKAWANASA
UMEME

MFANANO WA UHURU NA MAGUFULI

NA MFANANO WA ODINGA NA LOWASSA

UHURU KAPATA 8,043,470
MAGUFULI ALIPATA 8,800,000

UHURU NI RAIS WA KENYA
MAGUFULI NI RAIS WA TANZANIA,

HAYA SASA,

ODINGA KAPATA 6,643,819

LOWASSA ALIPATA 6,200,000

ODINGA ALIWAHI KUWA WAZIRI MKUU
HATA LOWASSA ALIKUWA WAZIRU MKUU,

ODINGA ALIWAKILISHA VYAMA VYA MUUNGANO WA UPINZANI

LOWASSA NAYE ALIWAKILISHA MUUNGANO WA VYAMA VYA UPINZANI.

UKAWA+ NASA, =UKAWANASA

Sent using Jamii Forums mobile app
MAGU + UHURU = MAGU HURU kufanya chochote!
 
Unachoongea mkuu Zitto JR ni kitu sahihi sana. Wakenya wengi wanaongelea mambo ya kisiasa kwa mihemuko ya kikabila na siyo uhalisia. Jamaa wanaoongelea waangalizi wa kimataifa, wanashindwa kuongelea waangalizi wa ndani na mashirika ya kiraia wanaodai kuna tofauti kati ya matokeo yanayotangazwa na tume na idadi kamili walizochukua wenyewe live vituoni.

Ukweli wa mambo ni kwamba, Rutto hataungwa mkono na wakikuyu come 2022. Hao jamaa ni wabinafsi sijawahi kuona. Malalamiko haya ya figisu katika uchaguzi hayataisha Kenya kama wataendeleza tabia hii ya uharamia.
 
Nyamaza wewe kama huji kitu.

Wanaposema uchaguz ulikuwa huru na wa haki hawamaanishi udukuzi. Wanachomaanisha ni ule utaratibu wa watu kujiandikisha, kupiga kura, na utoaji au utangazaj wa matokeo kwa kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Yote hayo yamefuata utaratibu, lakini suala la udukuzi na wizi wa kura hilo sio kaz yao ni kazi ya mahakama na wapelelezi mara pale upande mmoja unapogundua kuna tatizo katika ujumlishaji wa kura.
Lakini hao watu pia wameisifu tume kuwa inafanya kazi kwa weledi pamoja na presha kuwa kubwa!
 
Lakini hao watu pia wameisifu tume kuwa inafanya kazi kwa weledi pamoja na presha kuwa kubwa!
Hilo haliondoi uwezekano wa udukuzi, ndio maana pia kuna muda wa wagombea kupinga matokeo kabla ya Tume kutangaza. Uwezekano wa kudukua ama kutokudukua upo na ni wale tu wahusika wanaweza kujua kama wamedukua au wamehisi kudukuliwa. Sasa wakishajua ndio wanaelekea kwenye mahakama na kuomba uhakiki wa kura zinazobishaniwa.
 
We are on edge kabisa ....live from Bomas ..tumalize hii maneno leo

What goes around always comes around
 
Back
Top Bottom