Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Odinga aache maneno yake kabisa,Observers :AU ,EU,Common wealth,John Kerry wote wanasema uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi,yeye tu ndio analalamika?Hao watu wote wamehongwa na Uhuru?Akubali kushindwa tu!
Aligombea kama mgombea binafsiNimeona kwenye Tv kuwa kuna mwanahabari ameshinda U-mp wa nyali huko kenya anakwenda kwa jina la mohamed ali, nilitaka kujua kama ni yule wa jicho pevu maana nilisikia alibwagwa kwenye kura za maoni za nasa, sasa aligombea vipi tena, au alikuwa independent? Mwenye taarifa zake naomba kujuzwa.
Mkuu mimi ni mtanzania ila nmeishi sana kenya hivyo najua nachosema ...... kenya ukabila una matter kuliko kitu chochote both sides na usijifanye hujui walipompa odinga uwaziri mkuu kibaki alidai atasupport transition of power kutoka kwake hadi kwa odinga tafuta ile video ya siku wakizindua katiba mpya hii ya sasa kibaki was clear kabisa kuwa anamsupport odinga kuwa next president kumbe huku nyuma tayari anamuandaa mkikuyu uhuru agombee!!!!Wee achana na hawa ma-cousins wetu unaweka fitina isio na msingi .Hakuna kitu kama hicho Kibaki hawezi ahidi mtu yeyote kiti cha urais sababu Kenya ni demokrasia.
Hazijatofautiana???? Kwani matokeo yametangazwa??? Hivi mkuu mbona mnapenda kupotosha NASA wameshasema documents zao zina tally tofauti na IEBC wanafanya uhakiki wa fomu zote 40,000 then wwe unakuja kupotosha hapa kwani hizo fomu zote umezicrosschek wwe by last nyt???Hivi nyie wapinga kila kitu na kujiona mnajua sana mnatokea dunia gani?
Waangalizi wote wamesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Baba yenu huyo a.k.a Yoshua ameomba fomu na 34 sijui 38,zirudiwe kuangaliwa,zimerudiwa,bado hakuna tofauti na zilizotangazwa,mnataka nini kudhibitisha kuwa mmeshindwa kihalali?
Shida moja ya madikteta kote ulimwenguni ni kufikiri daima hawachuji.
Wanajidanganya!
Jubilee wamejitahidi sana awamu iliyopita na ndicho matunda waliyoyafuna.
NASA badala ya kusema watafanya nn,wao walikuwa wanatukana,nani achague matusi karne hii?obvious watu wanachagua bright future,na ndicho walichokifanya.
Mwambieni Yoshua wenu/labda MJOMBA wenu ya kuwa kashindwa kwa haki.
Akatulie ale Yale aliyokwishavuna miaka ile.
Awaachie damu changa kwenye upande wao manake hakuzaliwa yeye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ushabiki mkuu yaani mtu kuambulia seneti ma ugavana 50% ndio wakenya wamemchagua kwa kuangalia future??? Hivi gap ya 1 milion ndio inaonyesha odinga kachuja au uhuru ndio anakubalika???Umeongea yote mkuu.,
MAGU + UHURU = MAGU HURU kufanya chochote!UKAWANASA
UMEME
MFANANO WA UHURU NA MAGUFULI
NA MFANANO WA ODINGA NA LOWASSA
UHURU KAPATA 8,043,470
MAGUFULI ALIPATA 8,800,000
UHURU NI RAIS WA KENYA
MAGUFULI NI RAIS WA TANZANIA,
HAYA SASA,
ODINGA KAPATA 6,643,819
LOWASSA ALIPATA 6,200,000
ODINGA ALIWAHI KUWA WAZIRI MKUU
HATA LOWASSA ALIKUWA WAZIRU MKUU,
ODINGA ALIWAKILISHA VYAMA VYA MUUNGANO WA UPINZANI
LOWASSA NAYE ALIWAKILISHA MUUNGANO WA VYAMA VYA UPINZANI.
UKAWA+ NASA, =UKAWANASA
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hao watu pia wameisifu tume kuwa inafanya kazi kwa weledi pamoja na presha kuwa kubwa!Nyamaza wewe kama huji kitu.
Wanaposema uchaguz ulikuwa huru na wa haki hawamaanishi udukuzi. Wanachomaanisha ni ule utaratibu wa watu kujiandikisha, kupiga kura, na utoaji au utangazaj wa matokeo kwa kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Yote hayo yamefuata utaratibu, lakini suala la udukuzi na wizi wa kura hilo sio kaz yao ni kazi ya mahakama na wapelelezi mara pale upande mmoja unapogundua kuna tatizo katika ujumlishaji wa kura.
😱 Eek! 😵 Er... what? 😕 I'm confused! Kama haya ndiyo matokeo halisi, sasa Raila analalamika nini?...![]()
sent from iPhone 7
Hilo haliondoi uwezekano wa udukuzi, ndio maana pia kuna muda wa wagombea kupinga matokeo kabla ya Tume kutangaza. Uwezekano wa kudukua ama kutokudukua upo na ni wale tu wahusika wanaweza kujua kama wamedukua au wamehisi kudukuliwa. Sasa wakishajua ndio wanaelekea kwenye mahakama na kuomba uhakiki wa kura zinazobishaniwa.Lakini hao watu pia wameisifu tume kuwa inafanya kazi kwa weledi pamoja na presha kuwa kubwa!