jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Hatimaye mafisi wa Jubilee wamefanikiwa kuiba kura za Odinga na kushinda uchaguzi. Mungu anawaona nyie nyang'au!
Akipata nafasi ya kusoma huu ujumbe wako anaweza toa chozi kwa uchunguTuliwaambia vizuri. Mwenye anaogopa kura yake itaibiwa, akae nayo nyumbani.
2017 is the most free, fair and credible election we've had since 2002.
Following Raila and civil society demands, results from polling stations were transmitted in real time.
The forms 34A that followed have confirmed the results as authentic.
Nasa keeps shifting goal posts and inventing new lies.
The truth is: Raila has never and will never concede defeat. Luckily for us, there is not requirement in law for the loser to concede. Life goes on as usual.
5:00 pm ishafika. Sasa sioni mtu yeyote akiapishwa Leo. Watu waende nyumbani warudi Kesho. Leo kila mtu alikuja kuona uapisho wa rais lakini kesho Itabidi warudi BomasUhuru ameiba kura. Atatangazwa hivi sasa na IEBC. Lakini IEBC haijamaliza kukagua form 34b. Kuna form 34b zaidi ya kumi ambazo bado hazijawasili Bomas Nairobi. IEBC haifai kutangaza kabla ya kupokea form 34b zote na kuzikagua. Nimepata fununu kuwa Kisumu na Kibera kutawaka moto Leo ila sijui kama ni ukweli, wacha tungoje tuone
Machungu aliyopata Lowasa leo kwa Raila yatakua makubwa zaidi.
Raila alijifanya ni fundi mkubwa kwenye udukuzi wa kura ili Rafikiyake kipenzi aingie ikulu,lakini kwake ameshindwa kabisa kudukua.
Aache kulialia apishe ikulu ouru afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni chungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
5:00 pm ishafika. Sasa sioni mtu yeyote akiapishwa Leo. Watu waende nyumbani warudi Kesho. Leo kila mtu alikuja kuona uapisho wa rais lakini kesho Itabidi warudi Bomas
Hopless kabisa, odinga anahusika nn na kura za tanzania, ongea kitu ukiwa na evidence acha kukaririshwa, km ww ni mwanamke bas poa couse wanawake ndo wana tabia hii ckulaumu. Mwanaume aliyekamilika na malinda yakatimia hawez kuandika upuuzi kama huo.
Kuna mwenye summary ya vyama zilivyopata kwenye senate, Governors, wabunge na madiwami??
Ajabu ya mwaka mpinzani kushangilia chama tawala Kenya,wakati mpinzani mwenzake analalamika kuchezewa rafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu ya mwaka mpinzani kushangilia chama tawala Kenya,wakati mpinzani mwenzake analalamika kuchezewa rafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Odinga alishinda lakini mafisi wa Jubilee wameiba kura zake.kwani Odinga aliamini atashinda ???😵
Ameshinda una uhakika au unafuata anachokisema yeye..??Odinga alishinda lakini mafisi wa Jubilee wameiba kura zake.