EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Kachomeni moto iyo Bomas House!!! IEBC Na Uhuru wamemwibia nyie kura eti vile wao wafaudu matunda ya wakenya!!!! Haiko haki hapo!!!!! Uhuru is a hacker!!!!! supposed to be in jail right now!!!!!
 
Tuliwaambia vizuri. Mwenye anaogopa kura yake itaibiwa, akae nayo nyumbani.

2017 is the most free, fair and credible election we've had since 2002.
Following Raila and civil society demands, results from polling stations were transmitted in real time.
The forms 34A that followed have confirmed the results as authentic.
Nasa keeps shifting goal posts and inventing new lies.

The truth is: Raila has never and will never concede defeat. Luckily for us, there is not requirement in law for the loser to concede. Life goes on as usual.
 
Akipata nafasi ya kusoma huu ujumbe wako anaweza toa chozi kwa uchungu
 
Uhuru ameiba kura. Atatangazwa hivi sasa na IEBC. Lakini IEBC haijamaliza kukagua form 34b. Kuna form 34b zaidi ya kumi ambazo bado hazijawasili Bomas Nairobi. IEBC haifai kutangaza kabla ya kupokea form 34b zote na kuzikagua. Nimepata fununu kuwa Kisumu na Kibera kutawaka moto Leo ila sijui kama ni ukweli, wacha tungoje tuone
5:00 pm ishafika. Sasa sioni mtu yeyote akiapishwa Leo. Watu waende nyumbani warudi Kesho. Leo kila mtu alikuja kuona uapisho wa rais lakini kesho Itabidi warudi Bomas
 
Kuna mwenye summary ya vyama zilivyopata kwenye senate, Governors, wabunge na madiwami??
 
Tume ya uchaguzi Kenya mtangazeni Uhuru tunataka tuanze weekend full shangwe.,
Watu tumeshaandaa budget ya pombe na bata tunawasubiri tuanze kuzitumbua
 
Machungu aliyopata Lowasa leo kwa Raila yatakua makubwa zaidi.
Raila alijifanya ni fundi mkubwa kwenye udukuzi wa kura ili Rafikiyake kipenzi aingie ikulu,lakini kwake ameshindwa kabisa kudukua.
Aache kulialia apishe ikulu ouru afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni chungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hopless kabisa, odinga anahusika nn na kura za tanzania, ongea kitu ukiwa na evidence acha kukaririshwa, km ww ni mwanamke bas poa couse wanawake ndo wana tabia hii ckulaumu. Mwanaume aliyekamilika na malinda yakatimia hawez kuandika upuuzi kama huo.
 
5:00 pm ishafika. Sasa sioni mtu yeyote akiapishwa Leo. Watu waende nyumbani warudi Kesho. Leo kila mtu alikuja kuona uapisho wa rais lakini kesho Itabidi warudi Bomas

Kuapishwa au kutangazwa?
Rais ataapishwa mwisho wa mwezi huu.
 
Hopless kabisa, odinga anahusika nn na kura za tanzania, ongea kitu ukiwa na evidence acha kukaririshwa, km ww ni mwanamke bas poa couse wanawake ndo wana tabia hii ckulaumu. Mwanaume aliyekamilika na malinda yakatimia hawez kuandika upuuzi kama huo.

Uliza mtoto wake na january makamba walikuwa wanafanya nini kwenye ile talying centre ya ccm kule masaki halafu uliza mtoto wa odinga alifuata nini pale mesuma hotel..we mtoto mdogo sana huwezi kujua mambo mengi..kula maharage kanye ulale
 
Kuna mwenye summary ya vyama zilivyopata kwenye senate, Governors, wabunge na madiwami??

Governor
Jubilee/Jubilee friendly - 30
Nasa/Nasa friendly - 17

MPs
Jubilee/Jubilee friendly - 173
Nasa/Nasa friendly - 114

Senators
Jubilee/Jubilee friendly - 26
Nasa/Nasa friendly - 21

Women representatives
Jubilee/Jubilee friendly - 31
Nasa/Nasa friendly - 16
 
Watanzania wanafiki sana .............. CCM kila uchaguzi wanatuliza, hatusemi kitu.

Eti leo tunawalilia Wakenya!! Seriously!!?
 
Ku sita kutoa matokeo kwa IEBC , inaelekea kuna utata ktk matokeo husika via udukuzi maana leo wamekuwa na majadiliano marefu kati ya iebc na nasa, wakati wageni wengine akiwemo Ruto wakimsubiri Uhuru, na Mwisho hakuna maafikiano na Ruto kuondoka na Uhuru kwenda kicc badala ya bomas
 
Back
Top Bottom