EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

> Gari moja lenye namba za usajiri bandia za KBY 840C likiwa katika msafara unaolindwa limekamatwa na Maafisa wa Jeshi la Polisi na kukutwa na karatasi za kura ziliwe zimewekewa alama kwa Wagombea wa Jubilee. Limekamatwa huko traveling under escort found carrying (KIEMS) Mandera, Banissa.


AFRIKA INAFANANA SANA.
 
Odinga ana gundu sana kamwe hatoweza kushinda huu uchuguzi kabisa na wala sio kwamba ataibiwa kura....
 
Odinga atashindwa katika jina la Yesu ,Amen .That man is not fit to rule or fit for the presidency hata kidogo.
Nazan ungesema atashindwa ingetosha. ..Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure...pale hafanyi dhambi kugombea anatimiza haki yake kikatiba na watakaoamua ni Wakenya si mitandao...for your Info labda Uhuru aibe lakini kihalali kushnda ni ngumu ktk kipindi chake Kenya imeptia kwenye corruption na assasination nyingi kwa mda mfupi nazani kuliko kipindi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…