DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona.
Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya Klabu Bingwa Afrika.
Tukumbuke, Simba ndiyo timu ya kwanza na mpaka sasa pekee nchini iliyowahi kufika hatua hiyo ya nusu fainali ya mashindano hayo.
Credit: Instagram: @issa_michuzi