DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona.
View attachment 3322471
Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya Klabu Bingwa Afrika.
Tukumbuke, Simba ndiyo timu ya kwanza na mpaka sasa pekee nchini iliyowahi kufika hatua hiyo ya nusu fainali ya mashindano hayo.
Credit: Instagram: @issa_michuzi
Hakuna haja ya kuwaomba, unapotaja jina simba tayari wewe ndio ushakuwa kiongozi, utoe amri tu 🤣
Simba kwenye mechi za kimataifa kwa hapa Tanzania Haina wa kufanana nae.
Kuna vijimtu viliingiafainali mwaka juzi vikatambq,Leo Simba kafuta tambo zao.
Licha ya hapo 1993 Simba ilicheza fainali yake kubwa ya kwanza.
Yaani Simba ina kumbukumbu zake za video za 1974 wakikiwasha kimataifa ila kuna katimu kanadai ni mabingwa wa kihistoria ukiwaomba video zao za 2010 tu hapo hawana.Simba tunaubonda mwingi nahisi tushabebaga kombe la Caf sema tu hakuna mwenye kumbu kumbu nzuri...
Tukiweka ushabiki pembeni, kimataifa hawa wenzetu tunawakimbiza na kuwapakata sana.....Yaani Simba ina kumbukumbu zake za video za 1974 wakikiwasha kimataifa ila kuna katimu kanadai ni mabingwa wa kihistoria ukiwaomba video zao za 2010 tu hapo hawana.
Kwa mbaaaali saaaana. Aliyetangulia ametangulia tu ila hawataki kukubali hiloTukiweka ushabiki pembeni, kimataifa hawa wenzetu tunawakimbiza na kuwapakata sana.....
Mkuu umevuta bhange amaSisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3322570
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
Sawa mwanakikundi uko vizuriSisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3322570
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
Hiyo mechi ilifanyika Ghana. Halafu kuna vyura utawasikia wanasema Sinba haina historia ya kushinda ugenini.Kumbe full house ya Simba walianzaga babu zetu mashabiki wa Simbaaaaaaaaaa.💪
enhe tujuzane basi semaji la caf nusu fainali kipicho icho alikua nani?
"wanathimbaa heeee hatujamalidhaaa"🤸🤸🤸
Na kilichonifurahisha zaidi ni pale ilipoichukua Simba miaka miwili TU kuzima tambo za Hawa nyuma Kijiti kwa Fainali ya CAFCC ambayo waliongea sana.Kwa mbaaaali saaaana. Aliyetangulia ametangulia tu ila hawataki kukubali hilo
Sahihi kabisa. Simba imezima kelele zao mapema sana wakati bado ni za moto. Wakijaribu kushikilia kwa kusema wao ndiyo wa kwanza kufika fainali na penyewe facts zinakuja kila siku za kuonyesha Simba ilishacheza fainali za CAF 1993.Na kilichonifurahisha zaidi ni pale ilipoichukua Simba miaka miwili TU kuzima tambo za Hawa nyuma Kijiti kwa Fainali ya CAFCC ambayo waliongea sana.
Ingawa Simba walishacheza fainali kama hii 1993 lakini wameingia nyingine Sasa.
Hali hii imeifanya kile walichokua wa najivunua nyuma Kijiti kudumu kwa muda mfupi mno,na kujifanya Simba iendelee kua mbele Kwa kucheza fainali mbili,nusu moja na robo nyingi TU.