Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unaweka na estimation za gharama za ujenzi kwa kila nyumba na mimi ningejipima, lakini hizo paving peke yake kwangu ni mtihani. Ila uko pouwa sana kwenye michoro.
Quality Bado Ndogo sana.
Zimetulia sana.
Tu pia One Storey Building.
Smartapartments
1. https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=8772178- Nina 70X70 plot. Naomba design ya Bar and Grill Kali Mifano ya Isaje Park boko/Brajeck Survey au MillPark Arusha. Pia iwe na Open space ya Watoto Kuchezea au Fuctional place. #36 2014/02/22
2. https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=10404383 - Quality Bado Ndogo sana. #145 2014/08/23
3. https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=10491574 - Tupia One Storey Building. #153 2014/09/02
Yeah, design ni nyingi hizo ni sample tu
Kaka mimi Nina mchoro tayari ila nataka uniwekee kwenye muenekano wa nyumba kama hapo je unafanya kiasi gani