EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Unapozungumzia "dream house" ni kwamba Architect asanifu kile ambacho wewe unakihitaji na kuwa design ya nyumba yako ni "pekee" hivo bei itafanana na unachokihitaji.
 
Mi nataka mtu wa kuniwekea vipimo kwenye mchoro.gharama zenu zikoje kwa nyumba ya vyumba vitatu ikiwa ni vyumba 2 na masterbed room moja?na 2 toilet?
Then mnapatikana wapi kwa hapa dar?

Tumia simu hiyo hapo
 
Jehry kuna moja umeifuta.
Hembu itupie tena
Ilikuwa kama nyumba ya kawaida ila ilikua na ngazi za kupandia za nje,ambapo juu uliniambia ni sehem ya kupumzikia jioni.
 
Haswaa,safi sana mkuu hii ndio my Dream house.
Maana hii ndio nitakutafuta kama tulivyoongea kwa ajili ya mchoro nk.
Nime Isave ili sipotee kwenye data zangu.

Hii ni nyumba moja in different angle?au no tofauti,maana nikiangali moja ina stairs za ndani na nyingine zanje katika the same angle.
Hembu niweke sawa hapo mkuu
 
Style ya pili haipo but ukihitaji itadesainiwa tu
 
Haswaa,safi sana mkuu hii ndio my Dream house.
Maana hii ndio nitakutafuta kama tulivyoongea kwa ajili ya mchoro nk.
Nime Isave ili sipotee kwenye data zangu.

Hii ni nyumba moja in different angle?au no tofauti,maana nikiangali moja ina stairs za ndani na nyingine zanje katika the same angle.
Hembu niweke sawa hapo mkuu

First option stairs zipo nje one side front view

Second options stairs zipo ndani tu front view and kitchen side,

Chagua mojawapo upendavyo wewe
 
Ramani ya nyumba vyumba vitatu bei gani?

Back
Top Bottom