Jerhy, mbona kila post uliyoweka hapa umei-edit? Hiyo haiashirii kwamba huna uhakika na jambo uliloleta humu? Ni kazi yako au wewe ni dalali kiasi kwamba hadi uulize kwa mwenyewe then urudi ku-edit maelezo yako ya mwanzo?

Mi nataka mtu wa kuniwekea vipimo kwenye mchoro.gharama zenu zikoje kwa nyumba ya vyumba vitatu ikiwa ni vyumba 2 na masterbed room moja?na 2 toilet?
Then mnapatikana wapi kwa hapa dar?