EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

A four bedroom house with its interior design
 
Na wale wenye kuitaji fundi wa Umeme msisite kunifahamisha....Namba yangu ni 0718-302132
 
Jerhy, mbona kila post uliyoweka hapa umei-edit? Hiyo haiashirii kwamba huna uhakika na jambo uliloleta humu? Ni kazi yako au wewe ni dalali kiasi kwamba hadi uulize kwa mwenyewe then urudi ku-edit maelezo yako ya mwanzo?
 
Majungu
 
Chomoka na ofaa bomba ya msimu huu wa pasaka, usipitwe na kinyang'anyiro hiki
 
Mi nataka mtu wa kuniwekea vipimo kwenye mchoro.gharama zenu zikoje kwa nyumba ya vyumba vitatu ikiwa ni vyumba 2 na masterbed room moja?na 2 toilet?
Then mnapatikana wapi kwa hapa dar?
 
Aiseee naomba utoe haraka sana hizo design zangu sijui umezipatia wapi na nani kakupa ruhusa ya kuzipost
 
Back
Top Bottom