EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Mimi nipo dsm nilikuwa na uhitaji wa ramani ya nyumba kama yenye vyumba vinne hivi.
Kuna uwezo huo naomba uweke detail zako ili niweze kuongea na wewe.
Ahsanten!
 
Piga namba hii utapa msaada wako +255 712 006 246
 
Pga # 0716003184 tuongee mm n profesional kutoka chuo cha ardhi
 
Mimi nahitaji ramani ya nyumba ya uwani tu kama vyumba viwili kwa kuanzia .. nimkazi wa Bunju ila niko DRC so mambo ya simu itakuwa ngumu weka email address tuongee zaidi
 
Msimu wa ujenzi umewadia jipatie ramani kwa ujenzi sanifu wa nyumba yako ukiwa na mpangilio mzuri wa matumizi ya kiwanja chako
 
Tehe tehe eeh ok kwa laki we njoo uichuke ukajenge bwana we pambana na building materials
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…