EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Mimi nipo dsm nilikuwa na uhitaji wa ramani ya nyumba kama yenye vyumba vinne hivi.
Kuna uwezo huo naomba uweke detail zako ili niweze kuongea na wewe.
Ahsanten!
 
Mimi nahitaji ramani ya nyumba ya uwani tu kama vyumba viwili kwa kuanzia .. nimkazi wa Bunju ila niko DRC so mambo ya simu itakuwa ngumu weka email address tuongee zaidi
 
Msimu wa ujenzi umewadia jipatie ramani kwa ujenzi sanifu wa nyumba yako ukiwa na mpangilio mzuri wa matumizi ya kiwanja chako
 
Tehe tehe eeh ok kwa laki we njoo uichuke ukajenge bwana we pambana na building materials
 
Back
Top Bottom