EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Miti ya kivuli iwe ni ile ya matunda ili kuiletea familia chakula, sio hata chungwa tu we ni mpk yatoke Tanga uyafuate sokoni, miche mizuri ya matunda inapatikana SUA, tupigie kwa oda na kukusaidia kuipata msimu wa kupanda/mvua ukifika.
 
Habari wana JF
Nahitaji kujenga shule ya chekechea pia shule ya msingi. Eneo ni lenye ukubwa wa hekari tano, madarasa na ofisi zote ni za kawaida namaanisha sio ghorofa, ukubwa wa madarasa ni kulingana na standards za wizara ya elimu, facilities zote kama viwanja vya michezo nk lazima viwekwe kwenye ramani. Mtaalamu wa Ramani ani PM

Nawasilisha

Tembelea www.jathouse.com
 
ukijenga kwa kutumia michoro yenye makadrio kamili ya gharama za majenzi ni nzuri sana unajifunza kubana bajeti vizuri ya uchumi wako. kuliko kuanza ujenzi bila kujua makadrio ya majenzi.
 
mi nataka vyumba vitatu tu,, mengine yote yatakuwa nje,, gharama isizidi mil 3
 
vyumb vitatu simple ya mita kumi kwa kumi
 
Master 2 na kingine kawaida, jiko, store, sebule, dining, na public toilet.
 
Ramani ndogo za nyumba vyumba viwili au vitatu, na hata gorofa tupia sms whatsapp 0787-459-850. Michoro itajumuisha
1.Floor plan,
2.Detailed design,
3.Roof plan,
4.Section plan,
5.Elevation 2D,
6.3D computer model view,
7.Sewage sytem

mfano: Hii ni vyumba vitatu: jiko, stoo, dining, sitting, public toilet, master,

attachment.php


attachment.php


attachment.php

hizi ni dispensari ? hakuna taste !
 
Back
Top Bottom