OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikika kwasu kwasu mmoja kutoka matopeni.Ila tumeupiga mwingi sana KMC wamebahatisha tu, ligi ikirudi tunahakikisha tunabeba ubingwa hakuna wakutuzuia.
Daima mbele
Ila tumeupiga mwingi sana KMC wamebahatisha tu, ligi ikirudi tunahakikisha tunabeba ubingwa hakuna wakutuzuia.
Daima mbele
Mkuu hii mechi hatukutumia nguvu nakuhakikishia ubingwa tunachukua, siyo Simba wala Azam wakutuzuia sisi kwenye ligi kuu.Alisikika kwasu kwasu mmoja kutoka matopeni.
Acha uzushi wewe, hawajasukumwa ila WAMESUKUMIWAVyura wameivishwa, wameshikwa kalio wakapapaswa alafu wakasukumwa!
Siyo tatizo Mkuu sisi tunataka ubingwa wa ligi kuu tuwakilishe nchi kimataifa.0-3 kubahatisha ?
Nye ndo timu ya kwanza Africa kufunga 3 baada ya corona
Siyo tatizo Mkuu sisi tunataka ubingwa wa ligi kuu tuwakilishe nchi kimataifa.
Daima mbele
Sawa mkuuEndelea kuota
Hali ya hewa ya bongo hawajaizoea. Tuwasamehe! Wamezoea ya spain..
Kuna tatizo kubwa zaidi ya nidhaniavyo kama haya ndio mawazo yenu.Ila tumeupiga mwingi sana KMC wamebahatisha tu, ligi ikirudi tunahakikisha tunabeba ubingwa hakuna wakutuzuia.
Daima mbele