Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Pole!
!!!

Fantasy world inatuumiza sana kwenye mahusiano!

Nakumbuka nikiwa nabalehe Yale ma imagination yanayokuja Hulu tukicheki movie za kihindi ebaneeeh! Hatari sana!!

Njoo Sasa kwenye reality aiseh disapointment!!hicho ndio kinafanya uanze tafuta mwenzi kwenye mitandao ukifiri somebody is there for you kumbe huyo somebody ulishampata ukamuona hafai coz of your fantasy world!!!


Kufikiri kuatafuta mwenzi mtandaoni no sawana kutembea huku umefumba macho ukiamini kwamba utafika salama bila kuanguka au kupamia kikwazo chochote!!!


Face the reality wa kukuoa ulisha mpoteza kwenye usichana wako huo!omba Toba mungu akukumbuke na akusamehe dhambi kubwa hii hapa"KUPOTEZA USICHANA WAKO KWA MWINGINE HALAFU UNATAKA UOLEWE KWINGINE"!!!!

ANZIA HAPOK KWANZA OMBA MSAMAHA KWAKE!!
 
Hahahahaha the sentence should be be β€œbold” πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Hongera mkuu
 
Umefanikiwa au bado unatafta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…