Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Tatizo ulikuja kwa mbwembwe kwamba hujui kiswahili watu tulikuangalia tu na English yako isiyo na grammar wala tense. Sasa hivi unagonga 33 ila bado una kisirani kikali + gubu na kuongea hovyo[emoji3][emoji3]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Nimecheka mpk machozi!! Kwann lakini?!!
 
Back
Top Bottom